Ripoti Mpya Yaonyesha Idadi Kubwa ya Vifo Katika Mgogoro wa Sudan

Ripoti Mpya Yaonyesha Idadi Kubwa ya Vifo Katika Mgogoro wa Sudan

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Utafiti mpya umebaini kuwa idadi ya vifo vinavyotokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan ni kubwa zaidi kuliko ilivyoripotiwa awali. Kulingana na ripoti ya Sudan Research Group ya London School of Hygiene and Tropical Medicine, zaidi ya watu 61,000 wamefariki katika jimbo la Khartoum, ambako mapigano yalianza mwaka jana.

Ripoti hiyo inaeleza kuwa kati ya vifo hivyo, watu 26,000 waliuawa moja kwa moja kutokana na ghasia. Hata hivyo, sababu kuu ya vifo nchini Sudan ni magonjwa yanayoweza kuzuilika na njaa.

Aidha, maeneo mengine ya nchi, hasa katika mkoa wa Darfur Magharibi, yamekumbwa na vifo vingi zaidi kutokana na ripoti za ukatili na mauaji ya kikabila.

Inaonekana jumuiya ya kimataifa haijaipa nafasi kubwa vita hivi na ni kama Sudan imeachwa ipambane yenyewe mpaka mwisho. Macho yapo Lebanon na Gaza na Kwa mbali Ukraine.

Ni muda sasa umoja wa Africa AU iingilie kati mgogoro wa Sudan ili ifikie mwisho watu wasiendeleee kuuawa bila sababu za msingi.

====

BBC

The number of people dying because of the civil war in Sudan is significantly higher than previously reported, according to a new study.

More than 61,000 people have died in Khartoum state, where the fighting began last year, according to a report by the London School of Hygiene and Tropical Medicine's Sudan Research Group.

Of these, 26,000 people were killed as a direct result of the violence, it said, noting that the leading cause of death across the Sudan was preventable disease and starvation.

Many more people have died elsewhere in the country, especially in the western region of Darfur, where there have been numerous reports of atrocities and ethnic cleansing.
Advertisement

Aid workers say the 19-month conflict in Sudan has created the world's worst humanitarian crisis, with many thousands at risk of famine.

Until now, the UN and other aid agencies have been using the figure of 20,000 confirmed deaths.
Because of the fighting and chaos in the country, there has been no systematic recording of the number of people killed.

In May, US special envoy for Sudan Tom Perriello said that some estimates suggested up to 150,000 people had been killed.

The Sudan Research Group study comes as Amnesty International said French military technology was being used in the conflict, in violation of a UN arms embargo.

On Thursday, the rights group said the Rapid Support Forces (RSF) militia, which is battling the army, was using vehicles in Darfur supplied by the United Arab Emirates (UAE) that are fitted with French hardware.
"Our research shows that weaponry designed and manufactured in France is in active use on the battlefield in Sudan," said Amnesty’s Secretary General Agnès Callamard.

The BBC has asked for comment from France and the UAE, which has previously denied arming the RSF.
 
Mpaka Sasa inaripotiwa ya kwamba watu 60,000 wamefariki kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe kule nchini Sudan kwenye mji wa Khartoum pekee. Inaonekana jumuiya ya kimataifa haijaipa nafasi kubwa vita hivi na ni kama Sudan imeachwa ipambane yenyewe mpaka mwisho. Macho yapo Lebanon na Gaza na Kwa mbali Ukraine.

Ni muda Sasa umoja wa Africa AU iingilie kati mgogoro wa Sudan ili ifikie mwisho watu wasiendeleee kuuawa bila sababu za msingi.
Wanajitakia wenyewe sababu ya kupigana haipo au aina msingi.
 
Hata Mimi nimejaribu kutafuta sababu kwanini wanaopigana ila sijapata sababu ya msingi.
Wanatumika na superpower kwa kuua watu wao wenyewe, siraha zinatoka UAE na Egypt kuingia Sudan kwa niamba ya US, zingine kutoka Syria Iran kwaniaba ya Russia, proxy war ya nini wakati mnapoteza watu shit.
 
Wanatumika na superpower kwa kuua watu wao wenyewe, siraha zinatoka UAE na Egypt kuingia Sudan kwa niamba ya US, zingine kutoka Syria Iran kwaniaba ya Russia, proxy war ya nini wakati mnapoteza watu shit.

Dah! Inasikitisha sana
 
Wanajitakia wenyewe sababu ya kupigana haipo au aina msingi.
Sababu za msingi zipo. Vita yoyote huwa na sababu za msingi, gaza wanapigana wana sababu, congo wanapigana wana sababu, Syria wanapigana wana sababu, yemen wanapigana wana sababu n.k
 
Sababu za msingi zipo. Vita yoyote huwa na sababu za msingi, gaza wanapigana wana sababu, congo wanapigana wana sababu, Syria wanapigana wana sababu, yemen wanapigana wana sababu n.k
Sijasema hawana sababu lazima sababu zitungwe ila ni za msingi "hold water" ni kwa ajili ya raia wao angalia mafhara yake ulinganishe na visababu vyrnyewe.
 
Sijasema hawana sababu lazima sababu zitungwe ila ni za msingi "hold water" ni kwa ajili ya raia wao angalia mafhara yake ulinganishe na visababu vyrnyewe.
Wewe uliyepo huko tandahimba ndio unaona hazina msingi, wao wanaona ni za msingi ndio maana wameamua kupigana muda mrefu
 
Back
Top Bottom