Ripoti Mpya Yaonyesha Idadi Kubwa ya Vifo Katika Mgogoro wa Sudan

Zile kelele za Ukraine na Mashariki ya kati tungezihamishia huku ingepoa sana. Au hawa sio ndugu zetu katika imani?

Nadhani media hazijaipa nafasi vita vya Sudan. Imezidiwa ukubwa na vita vya Gaza na Lebanon na kule Ukraine. Lakini ni muda AU ikaingia kusaidia kuleta suluhi huko.
 
Wanatumika na superpower kwa kuua watu wao wenyewe, siraha zinatoka UAE na Egypt kuingia Sudan kwa niamba ya US, zingine kutoka Syria Iran kwaniaba ya Russia, proxy war ya nini wakati mnapoteza watu shit.
Sudan walianza kupigana wenyewe. Kabla ya kupigana alipokuwepo al Bashir alitengeneza jeshi la pili la RSF kudhibiti jeshi la nchi lisije kumpindua. RSF imekusanya wahuni wa Darfur na warlords wao ni makatiri watupu. Sudan ni nchi ya kubaguana kuanzia rangi (mwenye kaweupe kidogo kuelekea Uarabu anaamini ni bora, kadri ya Msudani anavyokuwa mweusi ndio anashushwa thamani). Wanabaguana pia kwa makabila na geographical location.

Baada ya mapinduzi ya al Bashir, jeshi na RSF hawakwendana kila mmoja kambale wakapigana. Ndio hapo kila upande ukatafuta washirika nje na uko kila upande unataja ofa yake. Sudan kuna dhahabu na mafuta na UAE kwa kawaida hawakai mbali na nchi ya Afrika yenye dhahabu alafu ina vita. Kwahiyi UAE lazima tu iisaidie RSF kama ilivyokuwa tangu enzi za Darfur, then serikali ina supporters wengine.
 
Mgogoro uliosahaulika...
 
Utumwa wa kifikra na kiimani ni mbaya sana,imefika mahala waafrica Wana walili waarabu na kuwaonea huruma na kuwaona wa maana kuliko hata waafrica wenzao wanaoteseka kwenye bara lao. 😭😭
 
Waarabu weusi hao
 
Wale nyumbu wako Gaza tu utafikiri wanaokufa hapo sudan ni sisimizi
 
Wale nyumbu wako Gaza tu utafikiri wanaokufa hapo sudan ni sisimizi
Janjaweed ni Wanamgambo wa Kiarabu lengo la Wanamgambo hao ni kuwamaliza Waafrika weusi.
 
Bora tu Sudan kusin walijitenga na hawa waislam
 
Sudan ndiyo iliyokuwa THE KINGDOM OF KUSH kabla ya kuvamiwa na Waarabu.
 
Hii vita mpk inaisha, nchi haifai kbs. Waafrica tunatumika sana na mabeberu...tunajiishia
 
Wanatumika na superpower kwa kuua watu wao wenyewe, siraha zinatoka UAE na Egypt kuingia Sudan kwa niamba ya US, zingine kutoka Syria Iran kwaniaba ya Russia, proxy war ya nini wakati mnapoteza watu shit.
....Juzi Russia kaitumia veto yake dhidi ya magharibi. Ni pale Un ilipotaka kuwashurutisha wa Sudan kisitisha vita, Russia alipinga.
 
Wanatumika na superpower kwa kuua watu wao wenyewe, siraha zinatoka UAE na Egypt kuingia Sudan kwa niamba ya US, zingine kutoka Syria Iran kwaniaba ya Russia, proxy war ya nini wakati mnapoteza watu shit.
Hakuna kujificha kwenye kichaka cha superpowers. Ni ujinga tu wa Waafrika wenyewe. Tusisingizie nchi kubwa, kwani hata kama ni kweli hatuna akili za kuzikatalia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…