Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalipia vingapi nchi hii??Iwe lazima na ya Bure,Kwa nini tulipie
Kapate chanjo mkuu ohoooMungu wa Mbinguni atulinde
Bora kuchanja uwe salama hata kama mtu anayoSasa hivi kugegedana na mtu inabidi apime hiv,homa ya ini na Uti mjini hapa.tusipeane maradhi kizembe
Kupima gharama yake ipoje?hepatitis B vaccine inauzwa Tsh 10,000 tu changamoto ni lazima upimwe kwa hiyo hapo itaongezeka consultation fee na gharama ya kipimo
Hatari sana lakini mbona Sioni Serikali ikitilia maanani suala la chanjo ya hola ya ini?
Duh basi bora tunyetuke tuu jamani maana kitumbua kimeingia waduduSasa hivi kugegedana na mtu inabidi apime hiv,homa ya ini na Uti mjini hapa.tusipeane maradhi kizembe
ndio maana nikasema total cost ni above 50khepatitis B vaccine inauzwa Tsh 10,000 tu changamoto ni lazima upimwe kwa hiyo hapo itaongezeka consultation fee na gharama ya kipimo
Dah sasa maisha yana raha gani kama hakuna kugegedana...sii bora ufe tuuAcheni kugegedana kwani usipo gegeda Kuna shida gani
Nenda ocean road process yote anzia kupima hadi sindano elfu 50Kupima gharama yake ipoje?
Inafanyikia kwa hospital zozote au hospital za ngazi Fulani?
Nataman niende
Kupima kupo na chanjo zipoDuh basi bora tunyetuke tuu jamani maana kitumbua kimeingia wadudu
🙏🙏🙏Nenda ocean road process yote anzia kupima hadi sindano elfu 50
Regency 150k
Nikupeleke mkuu??[emoji120][emoji120][emoji120]
Ai mie nina allergy na sindano.....nikichoma tako uvimbaKupima kupo na chanjo zipo