Ripoti Muhimbili: Wanaume 4 hadi 8 wanaishi na Maambukizi ya Virusi vya Homa ya Ini

hepatitis B vaccine inauzwa Tsh 10,000 tu changamoto ni lazima upimwe kwa hiyo hapo itaongezeka consultation fee na gharama ya kipimo
Kupima gharama yake ipoje?
Inafanyikia kwa hospital zozote au hospital za ngazi Fulani?
Nataman niende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…