Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ni mkononiAi mie nina allergy na sindano.....nikichoma tako uvimba
Npo tayar wewe tu! Sema nawish nifanye vipimo vingi vingiNikupeleke mkuu??
ngoja niende sijui hata ni wapiKapate chanjo mkuu ohooo
Uko single?? Ili kama uko poa nijisevie mieNpo tayar wewe tu! Sema nawish nifanye vipimo vingi vingi
Ocean road wako cheap na fastangoja niende sijui hata ni wapi
πππ Online npo single! Ila offline Kuna mahala nasogeza siku siwezi kaa na genye mda mrefu!Uko single?? Ili kama uko poa nijisevie mie
Kuna jamaa mmoja anatibu Sana huu ugonjwa 0717707565Nimefanya shughuli zangu visiwa vya kome wilaya ya Buchosa asee huo ugonjwa wa homa ya ini upo kwenye familia nyingi ila wanaamini ni kurogana na sio ugonjwa. Elimu elimu elim
Kwa hiyo chanjo waliitengeneza ya nini hao wazungu?Au zimetengenezwa Muhimbili?Hizo chanjo mnajua contents zake? Hiyo homa kwa wazungu haipo. Watatumaliza kwa njia mbalimbali.