Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ambaye hakupata bahati ya kuona hii ripoti, imeambatanishwa. Labda itasaidia kujua kwanini watoto wetu wanafeli, pamoja na ukweli wa hizi ripoti.
Ukiisoma vizuri hii ripoti nadhani baraza hawana la kulaumiwa. Waache wafeli tu jamani. Wako busy sana hawa madenti hawana mda wa kusoma.
Ukiisoma vizuri hii ripoti nadhani baraza hawana la kulaumiwa. Waache wafeli tu jamani. Wako busy sana hawa madenti hawana mda wa kusoma.
Nimeipitia, inasikitisha na inashangaza. Sijui wanaotoa mapendekezo baraza lirudie kusahihisha sasa hapo unasahihisha nini tena? Ripoti kama hizi ni za muhimu sana zikarudi kwa wadau ili tujue tulipo maana tunaweza kuendelea kujidanganya.
Pamoja na kwamba nakuballiana na wewe na umuhimu wa hii ripoti. Lakini pia ukiona sample ya maswali unaweza kukubalina na wanaolalamika kuwa mitihani huwa haiendani na kiwango cha vijana wa kidato cha nne. Kuna swali kwa mfano linauliza: The role of hypothesis in research. Hypothesis kwa mtoto wa kidato cha nne mmhhh labda watoto wa sasa hivi ni wakali wa Quantitative Research na Statistics

mkuu neno hypothesis nililisikia kwa mara ya kwanza nikiwa form one kwenye kipindi chaPamoja na kwamba nakuballiana na wewe na umuhimu wa hii ripoti. Lakini pia ukiona sample ya maswali unaweza kukubalina na wanaolalamika kuwa mitihani huwa haiendani na kiwango cha vijana wa kidato cha nne. Kuna swali kwa mfano linauliza: The role of hypothesis in research. Hypothesis kwa mtoto wa kidato cha nne mmhhh labda watoto wa sasa hivi ni wakali wa Quantitative Research na Statistics
Hapo ndipo pa kuanzia kwani unatakiwa uende kwenye syllabus uone contents na competency anayotakiwa kuwa nayo candidate then tuwe kwenye position ya kujudge kama swali liko nje ya scope au vipi???
Hiyo report siyo scientific kiasi hicho bwana. Wangekuwa wametoa majibu yote tungeweza kujudge vinginevyo wamefanya kitu kwenye research tunakiita selective observations (only choosing to look at things that are in line with your preferences or beliefs)..
Ukisoma hiyo Ripoti, kwa kweli wanafunzi ni Mbumbumbu kabisa
Yaani hata Intelligence Quotient - IQ zao ziko chini kabisa, bure kabisa!
.
mkuu neno hypothesis nililisikia kwa mara ya kwanza nikiwa form one kwenye kipindi cha
Mkirua hivi umeyaangalia yale maswali kweli au unaamua kubisha tu? Yale maswali mengi waliyoyaweka yanahitaji analytical skills ambazo sidhani kwa mtoto wa kidato cha nne atakuwa nazo.
Tatizo lipo kubwa kwa walimu.Walimu ni mbumbu sana hawana uwezo ,tatizo lingine ni lugha, ukisoma sample za reactions za wanafunzi utaona lugha nikichomi kubwa pia.