troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,551
- 2,573
Acheni majungu..jengeni umoja wa kitaifa..Msimpake matope mpango..sasa ivi tupo tunajenga nchi atutaki majunguTunacho furahia kutoka kwa mama ni kutofuata nyayo za jiwe basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni majungu..jengeni umoja wa kitaifa..Msimpake matope mpango..sasa ivi tupo tunajenga nchi atutaki majunguTunacho furahia kutoka kwa mama ni kutofuata nyayo za jiwe basi.
Uchumi wa kati alipika nani takwimu ?,miradi ya kimkakati fedha alitoa mama yako?Mpango siyo kizingiti,
Yeye ndiye alikuwa analazimishwa na mwendazake kupika takwimu za uongo kutangaza makusanyo ya Kodi.
Hakuna cha majungu hapo mama kukataa kufuata nyayo za jiwe huo ni ushindi kwa watanzania wapenda amani na mshikamano.Acheni majungu..jengeni umoja wa kitaifa..Msimpake matope mpango..sasa ivi tupo tunajenga nchi atutaki majungu
Jiwe kashakufaUchumi wa kati alipika nani takwimu ?,miradi ya kimkakati fedha alitoa mama yako?
Jakaya alianza hivhiviHakuna cha majungu hapo mama kukataa kufuata nyayo za jiwe huo ni ushindi kwa watanzania wapenda amani na mshikamano.
Hakuna lolote na huwezi kumlinganisha Jakaya na jiwe .Jakaya alianza hivhivi
Wewe ,Wewe , Wewe- usitowe siri ya taifa. Nchi inaweza Kusambaratika mara moja.
Hilo la Kikwete kumtaka Membe ni stori tu za mjini.Wanabodi, nawasalimu kwa jina la JMT.
Ni hivi, mwaka 2015 katika vikao vya ndani ya CCM na hasa NEC vilipitisha majina 5 ya wagombea ambao ni Magufuli, Membe, January, Asha-Rose na Balozi Amina. Uhakika niliona ni kwamba JK alimtaka Membe aliyekuwa adui wa Lowassa ambaye jina lake lilikatwa.
Ghafla JK alipoingia ukumbini akakuta Emmanuel Nchimbi na Sofia Simba wakiongoza watu kuimba, "tuna Imani na Lowassa" kuashiria kutomuunga Membe.
JK alimuuliza ushauri Mkurugenzi wa TISS Othman Rashid kwamba afanye nini baada ya Mkapa kumwambia amkate Membe kwa kuwa amemkata Lowassa.
Jibu la Othman lilikuwa hivi: "Mh wewe ni Mkwere?", 'ndiyo'. Unamjua jongoo mdudu? JK akasema ndiyo. Othman akamuuliza, "umewahi kumkanyaga jongoo?' Jakaya, "yes" anaendelea, "anatoa harufu mbaya sana"
Othman akamwambia, "sasa fumba macho mkamate jongoo kwa mkono wako na umng'ate kwa meno yako, yaani mtoe Membe kwenye 5 Bora lasivyo chama kinakufia mkononi". Ulikuwa ni uamuzi mgumu sana. Membe akakatwa sawia na kijana January na Utamaduni wa kutowaamini wanawake embe dodo likamdondokea Magufuli badala ya Rose na Amina.
Ndugu zangu. Ziko taarifa kutoka kikao Cha Cabinet kilichopita kwamba ripoti ya taarifa za fedha alizotaka SSH za mwezi January to March ziko tayari na amekabidhiwa. Aliyechungulia ripoti hiyo amekuta jina la VP Mpango akiwa alihusika moja kwa mbili katika ufisadi. Kwamba wote watakaonywea kikombe Cha hasira ya mama ni pamoja na "kipenzi" chake, Philip Mpango. Swali: je, mama atafumba macho amng'ate jongoo? Amweke pembeni Makamu wake Mpango aliyemsifia hadharani kwa uadilifu au ataamua kufunika kombe mwanaharamu apite?
Ripoti hii ni kipimo Cha uadilifu na maamuzi magumu kwa mama Samia. Tusubiri.
#FreedomIsBack
CCM na ufisadi ni mapacha wafananaoWanabodi, nawasalimu kwa jina la JMT.

Mh.Rais Samia Tunaomba Ripoti ya BOT usijali WaliohusikaWanabodi, nawasalimu kwa jina la JMT.

Hiyo ndiyo fasheni ya awamu hii kama bado haujaisoma. Wakitaka kumng'oa anayewakwamisha wanatuma kwanza wanaharakati mitandaoni wamrushie tope kisha huyo bi mdashi anafuata na panga lake. I hope viongozi wa ukweli wapitishiwe panga mapema kabla hawajawaKolimba au kuwaMangula. Bora wakae kando ile wawe salama. Wakati utakapofika ndipo kazi itaendelea pale alipoishia Magufuli.Taarifa zisizokua na uhakika ni ngumu kupima uzito wake.
kumbe hata wewe hujaiona ripoti,akili za kuambiwa changanya na zakoRipoti hii ni kipimo Cha uadilifu na maamuzi magumu kwa mama Samia. Tusubiri.
Huyu atakuwa anabwabwaja tu na story za vijiwe vya kahawa, wakati iko wazi kabisa kulikuwa na nguvu kubwa ya BM kwenye kumpitisha meko...Hilo la Kikwete kumtaka Membe ni stori tu za mjini.
Ukweli ni kwamba Lowassa hakutakiwa ndani ya CCM hasa na Mkapa.
Na chaguo halisi la Mkapa lilikuwa ni Magufuli.
Jamanieee, Magufuli hakuokota dodo wala kuwa rais kwa bahati mbaya.
Genge ka Mkapa lilifanya vikao vingi tu vya kumweka Magu madarakani.
Suala la 5 bora zilikuwa ni mbwembwe tu za kuchukua majina 5 kutoka kijana mmoja, wanawake plus Membe na mhusika Magu.
Yale majina hayakutokana na kura.
Ushahidi uko humu tena wa wazi kabisa
Lete ushahidi.Mpango siyo kizingiti,
Yeye ndiye alikuwa analazimishwa na mwendazake kupika takwimu za uongo kutangaza makusanyo ya Kodi.
Watu wengi wasioelewa Siasa za Tanzania wanaamini kuwa Magu aliokota Dodo, No Kama ulivyosema hakuokota dodo, Ilishaamuliwa na ikakubalika, Kilichobaki ni Mpango mkakati wa Kumuingiza Magu ndio kama ulivyokuwa.Hilo la Kikwete kumtaka Membe ni stori tu za mjini.