Hivi sio kwamba watumishi ndio wanachangia kiasi kikubwa kulingana na hizi bima wanakata wananchi wengine!! Na hizo huduma kubwa wanazopata watumishi ni zipi ikiwa kuna limit? Na ukizingatia kuna wanaokatwa miaka na miaka na wala hawatibiwi!!!Kwa sasa michango ni ongezeko la 12% wakati matumizi ni zaidi ya 28%
Huu mfuko umeuawa na serikali kwa kuweka siasa, fedha wanayokatwa watumishi ni ndogo kulingana na huduma wanazopewa, serikali iongeze gharama angalau mtu atibiwe kwa daraja la jinsi anavyochangia.
Hilo ndio la maanaHii ni kweli kabisa na sidhani kama katika hili wataelewa,ila ki uhalisia Hospitali binafsi zinachangia kkwa kiasi kikubwa kuuwa mfuko wa Taifa wa bima ya afya.
Serikali ingejikita kwenye kuboresha huduma katika vituo vyake ili watu wasiende kwenye vituo vya watu binafsi bila sababu za msingi.
Hospitali binafsi ni wahuni balaa, nilimpeleka mtoto alikuwa na mafua na kikohozi. Akatumia tu ile stethoscope kumpima then akaandika mtoto ana tatizo za mafua na kikohozi. Shughuli ikaja kwenye dawa, aliandikiwa dawa kama aina tano hivi, nikizisoma zote ni antibiotics zenye matumizi sawa. Sikulipia hata dawa nikasepa.Hii ni kweli kabisa na sidhani kama katika hili wataelewa,ila ki uhalisia Hospitali binafsi zinachangia kkwa kiasi kikubwa kuuwa mfuko wa Taifa wa bima ya afya.
Serikali ingejikita kwenye kuboresha huduma katika vituo vyake ili watu wasiende kwenye vituo vya watu binafsi bila sababu za msingi.
Binafsi wanachangia pakubwaHivi sio kwamba watumishi ndio wanachangia kiasi kikubwa kulingana na hizi bima wanakata wananchi wengine!! Na hizo huduma kubwa wanazopata watumishi ni zipi ikiwa kuna limit? Na ukizingatia kuna wanaokatwa miaka na miaka na wala hawatibiwi!!!
Na wanafanya makusudi,ukienda hospitali binafsi kama regency,Hindu Mandal, Besta....hutoki huko bila bill ya bima kufika si chini ya laki au laki mbili,utajaziwa dawa na vipimo mpka ushangae.Hilo ndio la maana
Hospital zote za binafsi huinflate gharama
Bora hao wanakupa bill, kuna hospital hazitoi bill hivyo haujui umetibiwa kwa kiasi ganiNa wanafanya makusudi,ukienda hospitali binafsi kama regency,Hindu Mandal, Besta....hutoki huko bila bill ya bima kufika si chini ya laki au laki mbili,utajaziwa dawa na vipimo mpka ushangae.
Na wananchi si ndio walikuwa na ile bima ya shilingi elfu30 kwa mwaka!! Sasa hapo nani kachangia zaidi?Binafsi wanachangia pakubwa
Mtumishi wa mshahara wa kima cha chini ambacho ni 370,000 huchangia 266,000 kwa Mwaka
Mtumishi anayelipa zaidi ni yule anayelipwa kuanzia milioni 2
Hii Ishu ni nzito sana, serikali hapa inabidi wafumbe macho private,inabidi wapigwe piniHospitali binafsi ni wahuni balaa, nilimpeleka mtoto alikuwa na mafua na kikohozi. Akatumia tu ile stethoscope kumpima then akaandika mtoto ana tatizo za mafua na kikohozi. Shughuli ikaja kwenye dawa, aliandikiwa dawa kama aina tano hivi, nikizisoma zote ni antibiotics zenye matumizi sawa. Sikulipia hata dawa nikasepa.
Kadi namba 333334444444 imetumia Shilingi 351,500.00 kwa huduma za matibabu katika kituo cha gfgfgggg Hospital tarehe 25/02/2023. Kama taarifa hizi sio sahihi piga namba 199 bure kutoa taarifa NHIF.Bora hao wanakupa bill, kuna hospital hazitoi bill hivyo haujui umetibiwa kwa kiasi gani
Na hawana akili, huruma wala utu kwenye afya za watu. Unamrundikia mtu dawa bila kujali madhara ya hizo dawa kwa afya yake kweli!! Hapo daktari anakuwa muuaji.Hii Ishu ni nzito sana, serikali hapa inabidi wafumbe macho private,inabidi wapigwe pini
Bill huwa inakuja kwa njia ya sms kwenye namba ya simu ya mlipaji.Bora hao wanakupa bill, kuna hospital hazitoi bill hivyo haujui umetibiwa kwa kiasi gani
Hiyo sio bill, bill ni kama ile unapewa muhimbili, inaonesha huduma zote ulizofanyiwaKadi namba 333334444444 imetumia Shilingi 351,500.00 kwa huduma za matibabu katika kituo cha gfgfgggg Hospital tarehe 25/02/2023. Kama taarifa hizi sio sahihi piga namba 199 bure kutoa taarifa NHIF.
Ile ilikuwa kituko, ile mwisho wake ni huko zahanatiNa wananchi si ndio walikuwa na ile bima ya shilingi elfu30 kwa mwaka!! Sasa hapo nani kachangia zaidi?
Ulikuwa unachagua hospitali sijui ni mbili au tatu ndani ya wilaya. Hivyo hata hospitali ya wilaya zilitumika.Ile ilikuwa kituko, ile mwisho wake ni huko zahanati
Hiyo imetumwa na NHIF na hizo ni dawa tu,vipimo badoHiyo sio bill, bill ni kama ile unapewa muhimbili, inaonesha huduma zote ulizofanyiwa
Ndo hivyo NHIF lazima wabadilike vinginevyo inafilisikaHiyo imetumwa na NHIF na hizo ni dawa tu,vipimo bado
Siku sio nyingiNdo hivyo NHIF lazima wabadilike vinginevyo inafilisika