Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hivi sio kwamba watumishi ndio wanachangia kiasi kikubwa kulingana na hizi bima wanakata wananchi wengine!! Na hizo huduma kubwa wanazopata watumishi ni zipi ikiwa kuna limit? Na ukizingatia kuna wanaokatwa miaka na miaka na wala hawatibiwi!!!Kwa sasa michango ni ongezeko la 12% wakati matumizi ni zaidi ya 28%
Huu mfuko umeuawa na serikali kwa kuweka siasa, fedha wanayokatwa watumishi ni ndogo kulingana na huduma wanazopewa, serikali iongeze gharama angalau mtu atibiwe kwa daraja la jinsi anavyochangia.