Tryagain
Member
- Nov 23, 2021
- 73
- 458
Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe
Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa uangalifu sana na tunahitaji kukopa ili kufanya maendeleo.
Wizara zinachelewesha malipo ya contractors- wanafanya makusudi ili kupata cha juu kwenye riba. 418bn TZS riba kwa wakandarasi ni wazi kuna rushwa sana kwenye mawizara huko (mijitu ipoo tu hapa mama ulikereka sana hapa)
mijitu ipo na mavitambi na kupaka piko Cargo plane - over invoicing ni michongo ya wizara ya ujenzi hiyo na ndiyo mambo walikuwa wanafanya akina Chamurilo naona kuna elements bado zipo!
Hawa ni kufyekelea mbali haraka sana Maahirika ya umma- mwngi hayana tija na kwa hili ni kweli NDC sijui hata wana kazi gani yaani. Yafutwe haya mashirika
TTCL ni kisanga kingine lakini sasa tukisema mama wanatuma TCRA watudukue na kutukamata tunaogopa wababe sana hawa! Ila kiukweli hakuna kitu mule ni basi tu