denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Hebu kwanza, kabla ya kumlaumu PM, kwani yule aliyetoa kauli kila mmoja wao ale kwa urefu wa kamba zao ni nani?
Naona mmeanza tena kuhangaika na Majaliwa, wakati wa juu yake mwenye maamuzi yote yupo, anatazama tu hayo madudu, na hakuna chochote cha maana anachofanya.
Bora mkiri kwanza yule wa juu ni dhaifu, hakuna anachojua, aondoke pale ndipo lawama ziende kwa watendaji wake, lakini sio kulaumu watendaji wakati bosi wao yupo tu "anaongea kwa uchungu"
Mtambue tu hili taifa haliongozwi kwa hisia, lina sheria na taratibu zake, hivyo kama mwenye mamlaka anashindwa kuyatumia mamlaka yake kuwajibisha walio chini yake, watendaji wake wasisumbuliwe.