Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

Hebu kwanza, kabla ya kumlaumu PM, kwani yule aliyetoa kauli kila mmoja wao ale kwa urefu wa kamba zao ni nani?

Naona mmeanza tena kuhangaika na Majaliwa, wakati wa juu yake mwenye maamuzi yote yupo, anatazama tu hayo madudu, na hakuna chochote cha maana anachofanya.

Bora mkiri kwanza yule wa juu ni dhaifu, hakuna anachojua, aondoke pale ndipo lawama ziende kwa watendaji wake, lakini sio kulaumu watendaji wakati bosi wao yupo tu "anaongea kwa uchungu"

Mtambue tu hili taifa haliongozwi kwa hisia, lina sheria na taratibu zake, hivyo kama mwenye mamlaka anashindwa kuyatumia mamlaka yake kuwajibisha walio chini yake, watendaji wake wasisumbuliwe.
 
Hawezi kuachwa,kama hakuhusika lakini ameshindwa kuzuia au kukemea basi hatufai piga chini
Mara ngapi anakemea na anasema anaiachia mamlaka ya uteuzi na bado anapotezewa.?

Si mama enu alisema anataka nidhamu ya moyoni.? Sasa anapiga kelele za nini? Usanii tu. Unawapa nyani shamba la mahindi kisha unatuambia mahindi yanaibiwa sana.
 
Tulisha muambia mama kama handoi sukuma gang wote watamuangusha naona sasa kagundua
 
Ati kaongea kwa uchungu!

Hakuna uchungu wowote ni sanaa mtupu.

Anajua pesa za plea bargaining zilikofichwa lakini hakuna kinachoendelea.
Wànasafishwa wote sukuma gang
 
Bi TOZO ndiyo tatizo. Anakumbatia wapigaji
 
Kikwete pekee ndiyo alijitahidi kuwawajibisha Hawa maofisa kipindi kile bungee Lina meno
 
Mara ngapi anakemea na anasema anaiachia mamlaka ya uteuzi na bado anapotezewa.?

Si mama enu alisema anataka nidhamu ya moyoni.? Sasa anapiga kelele za nini? Usanii tu. Unawapa nyani shamba la mahindi kisha unatuambia mahindi yanaibiwa sana.
Sukuma Gang mna solidarity ya kitoto sana. Huyu lazima abetuliwe
 
mawaziri wanamuangusha sana majaliwa
Kwa mujibu wa katiba Waziri Mkuu kama ilivyo baraza la mawaziri jukumu lao ni kumshauri aliyewateua. mamlaka ya nidhamu ya mawaziri ni aliyewateua na kuwaapisha. period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…