Ripoti ya CAG imezimwa kama gazeti la udaku. This is Tanzania Bana, unaiba Leo unaambiwa subiri tutakujadili kikao kijacho cha Bunge

I am certain we can do better than that. What is lacking is the appropriate leadership. Wazalendo wa kweli wanaoijali nchi hii na watu wake kwa dhati ya mioyo yao hawawezi kushindwa kazi hii.

Kwa maigizo tu, tena ya hovyo hovyo kabisa aliyokuwa akiyafanya Magufuli, uliona jinsi waTanzania walivyo tayari kushirikiana na viongozi sahihi wakichukua nchi.
 
Umenena mkuu,watanzania ni wa kulalama tu hasa humu JF, Ile push back hawana ila ni wabobezi wa kujadili yanayotokea Sudan, Uganda, it's craze mkuu
Asiposhughulikia Wezi na Wapigaji wa tozo na kodi na mikopo yetu tutahitaji maandamano makubwa kuwahi kutokea ya kumng'oa huyu Mama na kundi lake.

Na kama amezingirwa na anawaogopa hao wapigaji Samia atupe "signal" hata ya kutukonyeza ili tumsaidia kwa kuandamana hadi Wizara ya fedha huku tukiwa na vidumu vyetu vya petroli ili tukamtie kiberiti mwizi wa tozo zetu.
 
Dah, huyu ni mkuu 'imhotep'?
Nimekusoma mkuu.

Nadhani wengi wetu ni lazima pia tuseme kwamba hatuwajui wananchi wetu vizuri; lakini tu wepesi sana wa kutoa hukumu kwao.
 
Wakati Vibaka tunawatia kiberiti ni kwanini tunawalea hawa wezi wanaotutia umasikini tangia Uhuru .

Muda umefika sasa wa kuandamana na vidumu vyetu vya petroli hadi majumbani mwao tuwakurupue tuwavalishe matairi halafu watuambie zilipo fedha zetu za tozo na kodi
 
Kwani unataka awashughulikie vipi, si amekwisha sema "STUPID" na kuwafundisha kwamba wataingia kaburini bila ya hayo mapesa wanayoiba?

Imenibidi nitoe alama ya 'mshangao' kwa andiko lako hili. Wewe unaona wezi huko Hazina, lakini kamwe huna macho kabisa ya kutambua wezi walioko Ikulu!
 
Mkuu wezi wako idara zote kwenye Serikali hii ya CCM lakini siku yao inakuja Mungu aniweke hai.
 
Huu umekuwa ni utaratibu wa maigizo usiokuwa na manufaa yoyote, tena imekuwa ni kama njia ya kuwalinda hao wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…