Ripoti ya CAG, kuna uwezekano Watanzania ni wajinga kushadadia kutibu matokeo badala ya kushughulika na chanzo?

Nakubaliana na wewe, sisi Watanzania ni fools, ignorant and stupid never happened before .....

1. Ripoti imetoka ,watu tupo tupo tu hatujui hata cha kufanya, ni bla bla tu na manung'uniko after few days tumesahau yote, tunasubili ripoti nyingine mwakani ya kupigwa tena.

2. Watanzania sisi wajinga Sana, we ona ona mwenyewe eti ccm bado ipo madarakani hadi leo pamoja na kutuingiza kwenye umaskini uliotopea, kwa miaka yote hii; ingali tuna rasilimali kibaooo. Sasa mtu akisema sisi wapumbavu unadhani ni wapumbavu kidogo sasa!

3. Tukubaliane kwa pamoja sisi ni maiti hai!
 
Kile kibayari wanachokimbiza nchi nzima Sina imani nacho.
Kwa suala la kafara namuumga mkono Mwenyekiti wa Waganga Kanda ya Pwani Comrade MshanaJR
Namba 1 wa awamu ya 5 alijaribu kukizima kibatali mwishowe akapotea usoni, huyu wa 6 ana miaka 2 sasa lakini ametumulikia mwaka wa 3 huu 🤭
 
Haaaaaaaaaaaaaaa, Tanzania kuna Middle Class? Tanzania kuna Ruling Class na Walala hoi.
 
Mkuu, PM kwanza nakupa Kongole kwa uzi huu makini na wenye Maudhui adimu.Kweli Umeonesha Uzalendo.
Nakumbuka
Aliyekuwa CAG, Pr. Asad aliwahi kupendekeza kuwepo na mabadilko ya Mifumo katika nchi ili kuongeza Uwazi.
Alisema Nchi iongozwe na MFUMO sio matakwa ya MTU kama vile Raisi . WATU WANKUJA NA KUONDOKA ,LAKINI MFUMO UTABAKI PALE PALE. AKIKOSEA MTU KUFUATA KANUNI MFUMO UTAMUENGUA BILA KUHITAJI MBAVU.LAKINI Tanzania sivyo ilivyo.''

Kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa Raisi ndie Muhimili mkuu wa Nchi.Yuko juu ya katiba na sheria. Hata Bunge na Mahakama liko chini yake . Tuahitaji Katiba Mpya na Mfumo mpya wa Kuendesha nchi.
Mbona Kenya wameweza? sisi tunashindwa nini?
Nadhani CCM ndiyo chanzo cha Ubadhirifu uliopo kwa kushindwa kwake kusimamia
Kwa mfumo huu Taifa litaendelea kutafunwa na wajinga wachache.
 
Tunasubiria kwa hamu azimio la Bunge kuhusu ripoti ya CAG.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…