ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Nimeona watu wengi wameshtushwa na hii report ya CNN iliyoonyesha mauaji ya mo29, ila kimsingi hako kaji ripoti na kadogo mno, na mauaji ni mengi
Ulimwengu hautajua hata theluthi ya ukatili uliofanywa na police na vikosi vya mauaji
Mfano Mwanza wameuliwa na watu wengi tena kikatili, hospital zilijaa maiti, harufi ya mizoga ilitapakaa
Dodoma pale walikufa madogo wengi
Huko Mbeya na Tunduma ndo balaa vijana walikufa kama panya
KATORO, GEITA, KAHAMA waliuliwa Watanganyika wengi tena na watu ambao walikuwa hawajui kiswahili
Sina cha kusema kuhusu mauaji ya machalii wa Arusha na Dar es salaam
Watanganyika wenzangu haya tunayoyaona hata robo ya uhalisia Bado, laiti tungeyaona CCM isingekuwa madarakani
Naipenda Tanganyika
Mungu ibariki Tanganyika na Watanganyika wote