Shughuli iliisha 30/10,31 akili zikarudi kwa raia,wakakaa ndaniMi nahisi kilichoripotiwa ni 1% tu ya unyama uliofanyika fikiria yule mama wa katoro juzi alitusimullia kuwa walienda hospitari saa 6 wa tarehe 29 walikuta mochwari zote zimeshajaa maiti asa fikilia hadi kufikia tarehe 4 unyama ulikuwaje
Hapa Tanganyika irejeshwe tu kwenye ramani ya dunia ili hawa ibilisi wa kigeni wanao tusumbua warudi makwao.Nimeona watu wengi wameshtushwa na hii report ya CNN iliyoonyesha mauaji ya mo29, ila kimsingi hako kaji ripoti na kadogo mno, na mauaji ni mengi
Ulimwengu hautajua hata theluthi ya ukatili uliofanywa na police na vikosi vya mauaji
Mfano Mwanza wameuliwa na watu wengi tena kikatili, hospital zilijaa maiti, harufi ya mizoga ilitapakaa
Dodoma pale walikufa madogo wengi
Huko Mbeya na Tunduma ndo balaa vijana walikufa kama panya
KATORO, GEITA, KAHAMA waliuliwa Watanganyika wengi tena na watu ambao walikuwa hawajui kiswahili
Sina cha kusema kuhusu mauaji ya machalii wa Arusha na Dar es salaam
Watanganyika wenzangu haya tunayoyaona hata robo ya uhalisia Bado, laiti tungeyaona CCM isingekuwa madarakani
Naipenda Tanganyika
Mungu ibariki Tanganyika na Watanganyika wote
Report inatoka kidogo kidogo, kila Samia au machawa wake watakaponyanyua mdomo utaachiwa mzigo mwingine, hadi waite maji mmaNimeona watu wengi wameshtushwa na hii report ya CNN iliyoonyesha mauaji ya mo29, ila kimsingi hako kaji ripoti na kadogo mno, na mauaji ni mengi
Ulimwengu hautajua hata theluthi ya ukatili uliofanywa na police na vikosi vya mauaji
Mfano Mwanza wameuliwa na watu wengi tena kikatili, hospital zilijaa maiti, harufi ya mizoga ilitapakaa
Dodoma pale walikufa madogo wengi
Huko Mbeya na Tunduma ndo balaa vijana walikufa kama panya
KATORO, GEITA, KAHAMA waliuliwa Watanganyika wengi tena na watu ambao walikuwa hawajui kiswahili
Sina cha kusema kuhusu mauaji ya machalii wa Arusha na Dar es salaam
Watanganyika wenzangu haya tunayoyaona hata robo ya uhalisia Bado, laiti tungeyaona CCM isingekuwa madarakani
Naipenda Tanganyika
Mungu ibariki Tanganyika na Watanganyika wote
Sio mbaya kwa hiyo 10%. Maana wa kwetu wametuuza hakuna hata mahala wamepost chochoteNimeona watu wengi wameshtushwa na hii report ya CNN iliyoonyesha mauaji ya mo29, ila kimsingi hako kaji ripoti na kadogo mno, na mauaji ni mengi
Ulimwengu hautajua hata theluthi ya ukatili uliofanywa na police na vikosi vya mauaji
Mfano Mwanza wameuliwa na watu wengi tena kikatili, hospital zilijaa maiti, harufi ya mizoga ilitapakaa
Dodoma pale walikufa madogo wengi
Huko Mbeya na Tunduma ndo balaa vijana walikufa kama panya
KATORO, GEITA, KAHAMA waliuliwa Watanganyika wengi tena na watu ambao walikuwa hawajui kiswahili
Sina cha kusema kuhusu mauaji ya machalii wa Arusha na Dar es salaam
Watanganyika wenzangu haya tunayoyaona hata robo ya uhalisia Bado, laiti tungeyaona CCM isingekuwa madarakani
Naipenda Tanganyika
Mungu ibariki Tanganyika na Watanganyika wote
Huyo mama ni muongo mkoa wa Geita wote mpaka Tarehe 30/10 ulikuwa shwari kabisa, fujo zilianza Tarehe 31/10 na fujo zilizibitiwa na polisi kwa werediMi nahisi kilichoripotiwa ni 1% tu ya unyama uliofanyika fikiria yule mama wa katoro juzi alitusimullia kuwa walienda hospitari saa 6 wa tarehe 29 walikuta mochwari zote zimeshajaa maiti asa fikilia hadi kufikia tarehe 4 unyama ulikuwaje
Wale wazanzibari. Waliumizwa sana na mkapa 2001.Haya mambo yanaumiza jamani, kwani wenzetu wamekuwaje hata hawafeel chochote.
Mkoa mzima wanaweza kufika kumi tu. Halafu mbona uwongo wa huyo mama hujibu kuwa 29/10 alienda hospital na kukuta mochwari zimejaa maiti?Kwaiyo unabisha kuwa GEITA na KATORO watu hawakuuliwa
Yagangwe yajayo