PostGE2025 Ripoti ya CNN haijaonyesha hata 10% uhalisia wa mauaji ya Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Nimeona watu wengi wameshtushwa na hii report ya CNN iliyoonyesha mauaji ya mo29, ila kimsingi hako kaji ripoti na kadogo mno, na mauaji ni mengi

Ulimwengu hautajua hata theluthi ya ukatili uliofanywa na police na vikosi vya mauaji

Mfano Mwanza wameuliwa na watu wengi tena kikatili, hospital zilijaa maiti, harufi ya mizoga ilitapakaa

Dodoma pale walikufa madogo wengi

Huko Mbeya na Tunduma ndo balaa vijana walikufa kama panya

KATORO, GEITA, KAHAMA waliuliwa Watanganyika wengi tena na watu ambao walikuwa hawajui kiswahili

Sina cha kusema kuhusu mauaji ya machalii wa Arusha na Dar es salaam

Watanganyika wenzangu haya tunayoyaona hata robo ya uhalisia Bado, laiti tungeyaona CCM isingekuwa madarakani

Naipenda Tanganyika
Mungu ibariki Tanganyika na Watanganyika wote
 
Dunia imeshajua.

Kilichosemwa na CNN ni sehemu tu maana ukisema yote Documentary itachukua kitabu kizima.

Kwa kifupi Samia na wakuu wake wa vyombo vya ulinzi na usalama hawachomoi
 
Mi nahisi kilichoripotiwa ni 1% tu ya unyama uliofanyika fikiria yule mama wa katoro juzi alitusimullia kuwa walienda hospitari saa 6 wa tarehe 29 walikuta mochwari zote zimeshajaa maiti asa fikilia hadi kufikia tarehe 4 unyama ulikuwaje
 
Soma sheria za Youtube we mpuuzi mbona unakosa akili za mama yako shimo kubwa.
 
Dunia imeshajua.

Kilichosemwa na CNN ni sehemu tu maana ukisema yote Documentary itachukua kitabu kizima.

Kwa kifupi Samia na wakuu wake wa vyombo vya ulinzi na usalama hawachomoi
Nafikiri alitaka, na hakika ndio ukweli ambao watu wengi wanataka kujua. WAMEKUFA WANGAPI?
 
CNN ni Taasisi lazima kila inachokiweka kinakuwa atleast verifiable na beyond reasonable doubt - Kwa kuwasaidia wewe kama unayo mengine fanya kama alivyofanya Richard ; Kusanya yako au muongezee ili kuweka habari sawa....

Tena ningeshauri iwepo na database ya Waliofiwa kwa majina bandia kuweka records straight - Kumbuka hapa hupambani na wahuni wa kitaa bali ni Wahuni wenye Mamlaka, Dola n.k.; i.e. all the Power of the Executive, Judiciary na Legislative
 
Wewe ungewaambia CNN au BBC au wengine wowote wale, wanategemea watu kama nyie, tuma hiyo habari
 
Ona hili chokoh
 
Yote yatajulikana tu, waliouwawa wote watajulikana na waliofanya hayo mauaji watajulikana ....ni suala la muda tu
 
Na kote ulikuwepo ukashuhudia..kwa nini hukuwatumia CNN(madowo) picha na video?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…