PostGE2025 Ripoti ya CNN haijaonyesha hata 10% uhalisia wa mauaji ya Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mi nahisi kilichoripotiwa ni 1% tu ya unyama uliofanyika fikiria yule mama wa katoro juzi alitusimullia kuwa walienda hospitari saa 6 wa tarehe 29 walikuta mochwari zote zimeshajaa maiti asa fikilia hadi kufikia tarehe 4 unyama ulikuwaje
Shughuli iliisha 30/10,31 akili zikarudi kwa raia,wakakaa ndani
 
Hapa Tanganyika irejeshwe tu kwenye ramani ya dunia ili hawa ibilisi wa kigeni wanao tusumbua warudi makwao.
 
Wape CCN credit , ukumbuke hawakua na reporter yoyote on the ground, Larry alinyimwa kibali cha kuruhusiwa kuonyesha matukio ya uchafuzi maana wanajua ni mtu aliyenyooka kama ambavyo huwa anaripoti maandamano ya Kenya .

Larry kakubali kurisk maisha yake ikiwemo hata sasa kwa vilaza hawa wa CCM , Larry kajifungia milango ya kuwahi kuruhusiwa kuingia Tanzania pengine hadi pale nchi ikipata serikali timamu ya wananchi.

Taarifa hizo tuwashukuru ndugu, watumishi wa kada ya afya waliokuwa tayari kuonyesha ushirikiano japo wakiwa na simanzi nzito moyoni ila walikubali kusaidia kutoa maelezo ya kina.

Wa kulaumiwa ni zile takataka zinajiita jukwaa la wahariri na toilet paper za CCM [media] zote ambazo zilikuwepo on the ground ila hawakuripoti chochote.

Mwisho tu ni kuwa hii sio ripoti ya mwisho ushahidi mwingine utakavyozidi kuendelea kutolewa hii ripoti itapewa jina la part I na itaenda katika mfululizo huo.
 
Report inatoka kidogo kidogo, kila Samia au machawa wake watakaponyanyua mdomo utaachiwa mzigo mwingine, hadi waite maji mma
 
Sio mbaya kwa hiyo 10%. Maana wa kwetu wametuuza hakuna hata mahala wamepost chochote
 
Mi nahisi kilichoripotiwa ni 1% tu ya unyama uliofanyika fikiria yule mama wa katoro juzi alitusimullia kuwa walienda hospitari saa 6 wa tarehe 29 walikuta mochwari zote zimeshajaa maiti asa fikilia hadi kufikia tarehe 4 unyama ulikuwaje
Huyo mama ni muongo mkoa wa Geita wote mpaka Tarehe 30/10 ulikuwa shwari kabisa, fujo zilianza Tarehe 31/10 na fujo zilizibitiwa na polisi kwa weredi
 
Haya mambo yanaumiza jamani, kwani wenzetu wamekuwaje hata hawafeel chochote.
Wale wazanzibari. Waliumizwa sana na mkapa 2001.
Sasa hivi wanaona kama Wana revenge.
Ajabu Kuna hawa wenzetu wa bara. Wanawaunga mkono labda kwa kutofahamu au la.
 
Huyo mama ni muongo mkoa wa Geita wote mpaka Tarehe 30/10 ulikuwa shwari kabisa, fujo zilianza Tarehe 31/10 na fujo zilizibitiwa na polisi kwa weredi
Kwaiyo unabisha kuwa GEITA na KATORO watu hawakuuliwa
 
Kwaiyo unabisha kuwa GEITA na KATORO watu hawakuuliwa
Mkoa mzima wanaweza kufika kumi tu. Halafu mbona uwongo wa huyo mama hujibu kuwa 29/10 alienda hospital na kukuta mochwari zimejaa maiti?
 
Mkoa mzima wanaweza kufika kumi tu. Halafu mbona uwongo wa huyo mama hujibu kuwa 29/10 alienda hospital na kukuta mochwari zimejaa maiti?
Wapumbavu mna kazi
Kwaiyo mama mtu mzima asingizie kufiwa na mtoto wake?
 
Kitu ambacho nilipenda waoneshe na hawakuonesha ni jinsi watu walivofuatwa majumbani kwao na kuuawawa. Video zipo nyingi za wahuni wakiwa majumbani kwa watu wakifyatua risasi majumbani. Hili hawakulionesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…