Ripoti ya hesabu ya kura katika maeneo 15 yametoka,kuna la kujifunza!

Ripoti ya hesabu ya kura katika maeneo 15 yametoka,kuna la kujifunza!

Ruto mwizi sana na mjanja sana,amecheza na mifumo ya uchaguzi na kumuweka kwapani mtangaza matokeo-Chibukati.
 
Africa hata ulete VAR kweny mpira figisu zitakuwepo ,ona hapo Kenya uchaguzi ni ovyo kabisa
 
Ruto ndie rais wa kenya ......hii comment yangu ifanyieni lamination mtakuja kuniambia
 
Kama dosari imeshaonekana basi hiyo rulling ya jumatatu imeshajulikana pia, uchaguzi unaenda kurudiwa.

Swali langu ni je, Raila atakubali kurudia uchaguzi kwenye mazingira yaleyale ya wakina Chebukati kama mwenyekiti wa Tume?
 
Back
Top Bottom