luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Nimetazama ripoti ya kiuchunguzi ya mwandishi wa habari wa kituo cha itv bwana Benjamin Mzinga . Ripoti hiyo aliyoipa jina la kimbunga cha madereva wa mabasi Dar-Iringa binafsi bwana mzinga ana stahili pongezi kwa kitendo chake cha kiuchunguzi kwa sabaabu ameibua vitendo vya madereva kwenda mwendo kasi katka maenwo yasiyo paswa kwenda speed au kinyume na sheria ya barabarani .
Ripoti ya mwandishi imejikita katika barabara ya Dar-Iringa ripoti iliangazia eneo la kitonga moja kati ya eneo hatarishi kwa madereva waendao kasi katika eneo hilo.
Ripoti ya mwandishi imejikita katika barabara ya Dar-Iringa ripoti iliangazia eneo la kitonga moja kati ya eneo hatarishi kwa madereva waendao kasi katika eneo hilo.