Ripoti ya mwandishi wa ITV Benjamin Mzinga

Ripoti ya mwandishi wa ITV Benjamin Mzinga

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Nimetazama ripoti ya kiuchunguzi ya mwandishi wa habari wa kituo cha itv bwana Benjamin Mzinga . Ripoti hiyo aliyoipa jina la kimbunga cha madereva wa mabasi Dar-Iringa binafsi bwana mzinga ana stahili pongezi kwa kitendo chake cha kiuchunguzi kwa sabaabu ameibua vitendo vya madereva kwenda mwendo kasi katka maenwo yasiyo paswa kwenda speed au kinyume na sheria ya barabarani .

Ripoti ya mwandishi imejikita katika barabara ya Dar-Iringa ripoti iliangazia eneo la kitonga moja kati ya eneo hatarishi kwa madereva waendao kasi katika eneo hilo.
 
Simple sana hiyo. Achunguze 1.5 trilioni zilivyoliwaliwa halafu aje hadharani
 
Mmiliki was mabasi ya sauli kajikanyaga sana, anatetea mabasi yaje hayakimbii wala wahuni wanaoyashangilia sio kwamba wanabeti ,eti ni mapenzi yao tu kwa hayo mabasi
 
Mmiliki was mabasi ya sauli kajikanyaga sana, anatetea mabasi yaje hayakimbii wala wahuni wanaoyashangilia sio kwamba wanabeti ,eti ni mapenzi yao tu kwa hayo mabasi
 
Back
Top Bottom