Augustking
Senior Member
- May 25, 2019
- 118
- 188
Mchina anafanya kila kitu low hadi high grade hachagui.....na kitu anachojali ni mzunguko wa biashara wewe una bidhaa ghali bei 1000 kwa mwaka unauza 5 tu yeye anatengeneza kifaa hikohiko quality anapunguza kidogo au inakua kati anauza kwa 500 mwisho wa mwaka yeye kauza 15 wewe utabaki tu na promo za high quality yeye kapiga helaWhy China is a developed country?
Compared to developed countries, China enjoys large-scale manufacturing industries and high trade volume, but many domestic industries still land at the low end of the global industrial chain. It exports mainly low-value-added goods and has to import high-value-added products and advanced technologies
Km ndio hivi mchina bado sana labda ipite miaka 100.
Marekani wanaweza kuwa kinara wa dunia,lakini hawawezi kuwa kinara miongo yoteHuo utafiti na hiyo ripoti vimefanywa na Marekani wenyewe, unadhani baada ya kugundua hayo watakaa nayo tu bila kuifanyia kazi? Unadhani wao wenyewe hawajifanyii assessment ili ku improve?
Pamoja na yote, bado dunia inaitegemea sana Marekani ili kujua ukweli kuhusu yanayoendelea duniani. Maana wamewwkeza katika kuutafuta na kuujua ukweli hata uwe mzuri au mbaya kwao, mchungu au mtamu.
Unadhani taarifa hizi ungeweza kuzijua kupitia China?
Unajua ni kwanini wamewwza kuwa vinara kwa muda wote tangu vita kuu ya pili ya dunia?Marekani wanaweza kuwa kinara wa dunia,lakini hawawezi kuwa kinara miongo yote
Hata mim nmeshangaa mkuuKwamba makombora ya marekan yanauwezo wa km 70 mpaka? Hii report hebu weka hapa tuisome wenyewe hahahaha
Mkuu kwa sadam ni kweli mchina ni kiumbe mwingine moto 🙆🙆Kama unakumbuka ya Saddam ndo hayo hayo , pengine mchina anaundiwa zengwe kwa kuambiwa ana vitu ambavyo pengine kiuhalisia hata hana,
Pengine ndio lilitumika kutungua ile kiungo ya Marekani pale Iran adi leo sijweza juwa ile shabaha ni ya aina gani pale pia ilipo tumika kutoboa pipe za mabomba pale Saudia Arabia🤔Usicheze na mchina aisee,,,wale wanafyatua manowari za kijeshi utadhani wanadurufu(kupiga photocopy),hata aircraft carrier kwasasa wanaelekea kuwa nazo 3,
Mfumo wa china wa globo positioning ndio bora kabisa duniani,hivyo kuyafanya makombora yao yawe na guidance ya kuaminika,yaani wakilenga kitu wakikikosa yaani ni kwa centimeter 10,hivyo makombora yao yatakua high precision...
Faida gani utapata bwana fundi?Kwa lugha nyepesi na ya mtaani Mchina amesha chomoka kwenye chupa!
Hakuna wa kumzuia faida ni kubwa zaidi kwetu kuwa naye kuliko hasara!
Maana Marekani hana miaka mingi ata chutama!
Ila Mmarekani kila kitu kiko wazi?Na unadhani hizo taarifa walizopata wamarekani ndo wameijua China kikamilifu? Mchina bado msiri sana kuna vitu Mmarekani hata afurukute vipi hawezi akavijua labda hadi wakizichapa
Kijeshi kila mtu hajianiki 100% ingekua hivyo Japan asingepata suprise ya Hiroshima,,,,,tena hako karipoti ni kama kakujazana upepo tuIla Mmarekani kila kitu kiko wazi?
China inakua kwa kasi sana kusema kweli...Kwa lugha nyepesi na ya mtaani Mchina amesha chomoka kwenye chupa!
Hakuna wa kumzuia faida ni kubwa zaidi kwetu kuwa naye kuliko hasara!
Maana Marekani hana miaka mingi ata chutama!
Juzi wamerusha spacecraft...bila dunia kujua maandalizi yake...US wamestuka spacecraft hiyoo ! Angani!Na unadhani hizo taarifa walizopata wamarekani ndo wameijua China kikamilifu? Mchina bado msiri sana kuna vitu Mmarekani hata afurukute vipi hawezi akavijua labda hadi wakizichapa
Imesha chomoka mkuu kuirudisha ni hasara kwa Dunia nzima!China inakua kwa kasi sana kusema kweli...
Mkuu hawa viumbe ni hatari me ndio watu ninao waogopa zaidi Duniani wana juwa mahesabu hatari!Juzi wamerusha spacecraft...bila dunia kujua maandalizi yake...US wamestuka spacecraft hiyoo ! Angani!
China conducts highly secretive launch of ‘reusable experimental spacecraft’
Record za USA ku attack adui zake zipo hivyo, na zinaanza hivyo hivyo, fatilia Hiroshima na Nagasaki ya Japan.Mkuu kwa sadam ni kweli mchina ni kiumbe mwingine moto [emoji134][emoji134]
Kama walivyong'amua ukweli kuwa Saddam Hussein ana mabomu ya Nuclear kumbe ni ripoti ya uongo na wanajua kuwa ni uongo ili mradi tu watimizie uongo wao.Huo utafiti na hiyo ripoti vimefanywa na Marekani wenyewe, unadhani baada ya kugundua hayo watakaa nayo tu bila kuifanyia kazi? Unadhani wao wenyewe hawajifanyii assessment ili ku improve?
Pamoja na yote, bado dunia inaitegemea sana Marekani ili kujua ukweli kuhusu yanayoendelea duniani. Maana wamewwkeza katika kuutafuta na kuujua ukweli hata uwe mzuri au mbaya kwao, mchungu au mtamu.
Unadhani taarifa hizi ungeweza kuzijua kupitia China?
Hawa watu mimi hofu yangu ni kwamba ni wanyonyaji sana sijui wakiitawala dunia itakuwaje. Wajua wa dunia ya sasa wazungu wanakula na kupuliza, watakuibia rasimali mfano kupitia migodi ila wanaofanya kazi pale watakuwa wanalipwa vizuri. Lakini Mchina anakuibia na wanaomfanyia kazi anawalipa misahara ya kidwanzi.Mkuu hawa viumbe ni hatari me ndio watu ninao waogopa zaidi Duniani wana juwa mahesabu hatari!
Nina kubaliana na wewe 100% lazima tuwe na hofu nao maana wana kula kila kitu!Hawa watu mimi hofu yangu ni kwamba ni wanyonyaji sana sijui wakiitawala dunia itakuwaje. Wajua wa dunia ya sasa wazungu wanakula na kupuliza, watakuibia rasimali mfano kupitia migodi ila wanaofanya kazi pale watakuwa wanalipwa vizuri. Lakini Mchina anakuibia na wanaomfanyia kazi anawalipa misahara ya kidwanzi.
Mchina hali na kupuliza anakula chote na ukileta ujuaji anabeba na sahani.
Ila kwa jinsi mambo yalivyo hakuna wa kumzuia sasa, hata waweke vikwazo vingapi washachelewa maana kwasasa ana technology ana uchumi ana influence. Anafanya kila kitu, si ajabu baada ya miaka mitatu ukashangaa mchina anatengeneza processors na socs zenye ubora na nguvu na kwa bei rahisi sana.
Mkuu jana sio leo kila jambo na nyakati zake!Record za USA ku attack adui zake zipo hivyo, na zinaanza hivyo hivyo ,fatilia Hiroshima na Nagasaki ya Japan.
Wachina wana faida sana,,unaziona zile taa za barabarani za sola?,huyo ni mchina,kuna pikipiki sikuhizi humu mtaani za kucharge kama simu halafu bei chee,laki nane tu,Faida gani utapata bwana fundi?