Ripoti ya Pentagon 2020 kwenye Bunge la Marekani: Uchina ina jeshi kubwa la maji kuliko Marekani, Tanzania yatajwa

Dah!...uzi mzuri Sana wa mwaka huo....nadhani uvamizi wa Urusi huko Ukraine umezipa muda China, Taiwan na US kujitathmini kipi kitatokea iwapo mgogoro utazuka kati yao.
T14 Armata Mag3 dudus Yoda
Samahani sana Proved, sipo tena katika haya mambo ya kulinganisha uwezo wa majeshi mbali mbali duniani. Hilo nawaachia akina MALCOM LUMUMBA waendelee kuota ndoto zao za mchana🤡!

Kwa sasa matatizo ya maji, umeme na gharama kubwa katika matumizi ya mitandao yamenifanya kukosa kabisa usingizi iwe mchana au usiku, sasa hizo ndoto nitazitoa wapi?
 
Maji dumu Kwa uku ubungo Tshs 1,000
 
Huwezi kamwe kuitawala hii dunia kama hautambui ukuu wa Mungu historia inatuambia vizuri sana hili na hata biblia, hivyo huyo mchina anaangaika tu hakuna popote atakapofika, ni mbio za sakafuni tu hizo.
 
Kwani kuna Super powers wanaoamin Mungu?, masuper power ni mishoga kk
 
Kwani kuna Super powers wanaoamin Mungu?, masuper power ni mishoga kk
Mashoga ni nyie mnaofurahia kulitamka hilo neno kila saa na waarabu wenu waliowaletea dini na ushoga juu yake.
 
Hapa Kuna tatizo turudi kwenye msimamo wetu kwamba hatu fungamani na upande wowote
 
Huwezi kamwe kuitawala hii dunia kama hautambui ukuu wa Mungu historia inatuambia vizuri sana hili na hata biblia, hivyo huyo mchina anaangaika tu hakuna popote atakapofika, ni mbio za sakafuni tu hizo.
Upunguze ujinga unless uniambia wewe huna akili.
 
Mashoga ni nyie mnaofurahia kulitamka hilo neno kila saa na waarabu wenu waliowaletea dini na ushoga juu yake.
Mbonaa unapanik km Malaya alokopwa uchi!?
USA INASAPOTI USHOGA JE SIO SUPER POWER?
 
🤔🤔🤔🤔 ndugu muandishi sasa naanza kupata picha
 
Tatizo mchina ni mchina tu ... mpaka kesho huko China magorofa yanaporomoka sasa sielewi hizo nguvu za kijeshi zinatoka wapi
We mbona muongo?
Maghorofa gani yanayoanguka China!?
Hiyo Qatar imejengwa na wahandisi wa China je umesikia ghorofa lolote limeanguka Qatar!?
 
Mbonaa unapanik km Malaya alokopwa uchi!?
USA INASAPOTI USHOGA JE SIO SUPER POWER?
Chama cha Democratic ndicho kinaunga mkono ushoga na utoaji mimba lakini chama cha Republican kinapinga yote hayo.

Naona hata sera za hivyo vyama huelewi ila mnakaririshwa tu huko masjid na uelewe kwamba kuna waislamu wengi kama akina Imam Muhsin kule Afrika Kusini wanaunga mkono ushoga, sasa ushangae.
 
Huwezi kamwe kuitawala hii dunia kama hautambui ukuu wa Mungu historia inatuambia vizuri sana hili na hata biblia, hivyo huyo mchina anaangaika tu hakuna popote atakapofika, ni mbio za sakafuni tu hizo.
Kwahiyo wachina hawautambui ukuu wa mungu kisa hawatumii biblia?
 
Mkuu habari...
Nimeupitia tena huu uzi...
Je Uchina ina jipanga bado, maana kwa kitu kilichotokea wakati spika wa bunge la Marekani alivyo enda Taiwan Kwa nguvu ijapokuwa China ilikataa...
Muda huwa ni mwalimu mzuri sana! Kila mtu ana macho hivyo atazame mwenyewe. Binafsi, siwezi kuchangia kitu chochote hapa jukwaani.

Academic Discourse is not a popularity contest.
Kuhusu Uchina, Marekani na Urusi, tuombe uzima tu. Muda tu ndiyo mwalimu na msema kweli mzuri.
 
Says a Faux intellectual who boldly mispredicted that Trump would not become the US President in 2024.

It seems you are out of touch and live in your own version of reality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…