Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Hata sura they show no remorse yaani wamekomaa na sura mbaya sana za baadhi hapa . Mtahukumiwa na laana na mateso ya Watanzania viwe juu yenu.

My prediction is that . Next MP is Dr.Mwakyembe ama la atachukua uwaziri wa wizara nyeti .

JK hawezi kumpa Mwakyembe u-PM: never!! ... sana sana anaweza kuambulia uwaziri au unaibu waziri. Mwakyembe ana uwezo sana lakini yuko the other side of the bench.
 
Jamani Kama EL atasimama Bungeni na kuwaambia wabunge kwamba JAMANI KWELI YAMETOKEA NA TUSAMEHEANE NA SASA TUGANGE YAJAYO, wabunge makoooooooooooooofi kwa wingi na yame kwisha?
 
Hapa hajiuzulu mtu mpaka kieleweke kama mtandao unakufa au unaendelea. Kila mtu anaogopa anachojua mwenzake na kuna mambo ya kumwaga mboga na ugali yanaweza kufanyika hapa.

So far ni usanii tu utaendelea kwa muda hapa! Lowasa amekataa kutoka, Rostam Aziz anapigia simu waandishi wa habari kama kawaida yake kuwaweka sawa na story za Dodoma, Usanii tu na Kikwete mwenyewe anafikiria kama aunde kamati nyingine ya kuchunguza hii kazi au aunde TAKUTAKUKURU (Taasisi ya Kuchunguza Taasisi ya kuchunguza (kuzuia) na kukomesha rushwa) baada ya hii skendo ya Hosea!

tik tak tik tak tik ...........

I hope hii ripoti imerudisha imani ya Mwafrika wa Kike kwa Mheshimiwa Dr. Mwakyembe!
 
Kwa hiyo sasa kwenye kamati ya BoT kuna wajumbe wawili mabomu; Hosea na mwanyika
 
JK hawezi kumpa Mwakyembe u-PM: never!! ... sana sana anaweza kuambulia uwaziri au unaibu waziri. Mwakyembe ana uwezo sana lakini yuko the other side of the bench.

Waungwana,

Mnataka kila mwenye uwezo wa kutetea wananchi awe waziri? Kwanini baadhi ya watu wasibaki kuwa back benchers ili kuendelea kuikosoa serikali na kuisahihisha pale inapokosea?

Hii dhana ya wabunge kutaka madaraka ndio inawafanya washindwe kutetea maslahi ya wananchi.

Hao hao wanaojifanya mabingwa wa kutetea wanyonge, ukiwapa ulaji, ndio inakuwa mwisho wa kutetea wanyonge.

Huyo Dr. Mwakyembe kule Kyela kwenyewe hakuna la maana analofanya zaidi ya kufukuzia vyeo Dar. Haonekani jimboni kwake, ni rahisi kukutana na waziri Dar kuliko kumwona Dr. Mwakyembe, kule Kyela.

Lazima katika bunge letu tuwe na watu ambao wana uwezo na hawagangi njaa za vyeo. Dr. Mwakyembe, anaweza kuwa backbencher mzuri sana kwani ana uwezo wa kuona na kukosoa makosa lakini nina wasiwasi sana na utendaji wake kule wilayani.
 
Mistake ambayo JK alifanya ni kuweka mwizi/jambazi/mhuni kuwa waziri mkuu

JK alitahadhariswa sana juu ya Lowassa. mwalimu Nyerere alisema hafai vipi wewe unamchukua? Lowassa akaweka wapambe wengi hasa Salva Rweyemamu na Tido Mhando ambao walikuwa wakimpigia chapuo EL. Tido alikuwa akipa nafasi Salva kwenye BBC kimfagilia Lowassa.

sasa wote hao kina Tido na Salva nao waondolewe hawana sifa.
 
Naskia Lowasa ana sifa kuhonga dau kubwa editors of Leading Media ili kumpandisha kisiasa!

Hata akiwa waziri- ni jambo gani kubwa alilofanya licha ya upendeleo huko Monduli?

Alikuwa Maji, Mifugo, Ardhi-- je ni kipi cha ajabu EL alichawahi kufanya?

Ila utaona kote huku vyombo vya habari vilikuwa vikimsifia sana!

Angalia ndo alipiga debe Rweyimamu, Tido na yule Betyy mke wa Masanja kupewa ulaji!
 
Ofisi ya waziri mkuu kajaza watu wa Arusha watupu. kwenye waandishi yupo Suzany Mungi ambaye pia ni kidama wake.na amempa nyumba ya serikali.
mara kaingilia mijadala ya mahakama ya kadhi waislam wakaja juu,

JK fagia wot hawa TIDO,SALVA NA SUZANI MUNGI na yule Innocent Mungi NI uchafu wa Lowasa si watendaji hawa.
 
Tusimlaumu Hosea wala msabaha.hawa wote walipata Maelezo kutoka kwa Bwana Mkubwa<ndanda Lowassa E.N Al fasadi>

Mbona hii kitu wanamkomalia LOWASA aliyeshinikiza wasomi ma DR msabaha kuwalazimisha wasomi wa tanesco waingie mikataba.

Mbona BOT inakua kinyume tunamuandama msomi DR Balali eti hakutumia usomi wake kwa sababu alikubali kulazimishwa???

I HAVE NO SENSE TOTALLY CONFUSED
 
Basi Balali nae ni kafara tu- waliokula EPA ni RA na EL!

Swali je ni kwa nini hali hii inaendelea na itakuwa hivi hadi lini?
 
MOST WANTED

View attachment 1079

WATAJWA HAPO JUU NI WATUHUMIWA WA UFUJAJI WA MABILIONI YA PESA ZA WATANZANIA KWA KUTUMIA KAMPUNI HEWA.YEYOTE MWENYE TAARIFA ZITAKAZO SAIDIA KUKAMATWA KWAO ANAOMBWA KUTOA TAAFIRA MARA MOJA KWA WATANZANIA
Katika orodha hiyo kakosekana mzee wa Mtwara Mkapa, muongezee hapo

Sasa tunataka wabunge kama wameyaona haya shinikiza kamati ya BOT iundwe tuone madudu ya huko nina uhakika tutapata Miziki ya kuruka majoka kama M. Jackson kama siyo Sarakasi za Kichina

Kamati gani unaitaka zaidi ya hiyo iliyopewa miezi sita? Fafanua tafadhali!

Huyu Mzinzi sana,si mtu makini kabisa.Nampendekeza Mhe. Lucas Seleli.(MB)

Nakuunga mkono kwa Selelii, lakini sina uhakika na wasifu wake na mambo yake mengine aliolifanyia taifa hili.
 
Basi Balali nae ni kafara tu- waliokula EPA ni RA na EL!

Swali je ni kwa nini hali hii inaendelea na itakuwa hivi hadi lini?

Mie nahisi
BOT wamo JK na Mkapa pamoja na RO ndio maana shutuma wanajitahidi kumwangushia Balali kwa hili nahisi lowasa hahusiki na ndio ubavu hapo anapo upata EL wamwage mboga yeye amwage ugali.
Bado nahisi ndio maana JK anataka wabunge wamumwage EL ili apate ahueni ya kumwambia EL unajua mshikaji wangu kulikua hakuna jinsi
ya kubebana hapo na EL asipate Munkali wa kuripua mabomu yani atulize mpira.
 
Wakuu nimesoma hii ripoti ya Dr Mwakyembe hadi nimesisimka! Amemkoma nyani balaa! Au niseme ameikoma minyani! Namkubali, naikubali kamati yake yote, na bado siamini kama waliweza kuandika ripoti ndefu kiasi hicho katika muda waliopewa, mahojiano yaliendelea hadi 27 Dec, na 31 Dec ripoti tayari! Walikuwa hawalali hawa jamaa! Hongera zao kwa sana.

Sasa tunasubiri hatua zitakazochukuliwa na JK, bunge nk kwa wahusika.

Swali la kizushi: Hivi PhD ya Mwakyembe na ile ya Edward Hosea ni sawa?
 
Utadhani jamaa walimwambia kwamba spedi ibaki spedi, yaani ile ni ripoti ya Kitaalamu kweli ambayo Watanzania tumestahili kupatiwa. Ripoti ya kitaalamu kama hii iliwasilishwa kwa Mkapa na Mhe Jaji Robert Kissanga, lakini Mkapa akaishia kumponda Kissanga na kumkashifu kwamba hana viwango na kaandika ripoti kwa hisia zake na wenzake. Ila historia itamhukumu Mkapa!
 
Hapa naona JK atanuia kumuimpress GWB akija wiki ijayo. Kwa kuanzia, Lowassa na mafisadi wenzake hawatakuwa kwenye receiving line au kujichana kamba koche pale ikulu kwenye state dinner.

Hii, tanguapo, haitatokea ikiwa Lowassa akifukuzwa kisha akatishia (Lowassa)kumuumbua JK kwa kutoa uozo wake hadharani. Either way, ushindi ni wetu, mafisadi wataanikwa, (kuchukuliwa hatua za kisheria ni atiati kama tujuavyo taratibu za serikali yetu na watendaji wake) na wananchi wanaweza kuelezea usongo wao hapo 2010 wakianzia na Kiteto!!
 
Wakuu nimesoma hii ripoti ya Dr Mwakyembe hadi nimesisimka! Amemkoma nyani balaa! Au niseme ameikoma minyani! Namkubali, naikubali kamati yake yote, na bado siamini kama waliweza kuandika ripoti ndefu kiasi hicho katika muda waliopewa, mahojiano yaliendelea hadi 27 Dec, na 31 Dec ripoti tayari! Walikuwa hawalali hawa jamaa! Hongera zao kwa sana.

Sasa tunasubiri hatua zitakazochukuliwa na JK, bunge nk kwa wahusika.

Swali la kizushi: Hivi PhD ya Mwakyembe na ile ya Edward Hosea ni sawa?

Mkuu hapa naona ndipo wakuu wa hapo UDSM wanapotamani kumvua hiyo shahada bwana Hoosea..ya Mwakyembe naona ni ya Ujerumani, Hamburg..lakini cha msingi ni kwamba Hoosea ametumia taaluma yake vibaya kama walivofanya wengine!
 
....inavyoonekana ni kuwa kama lowassa hatawajibishwa basi na hawa wa chini kina karamagi...wataweza kupona...

kikao cha kamati ya chama ambacho huongozwa na lowassa jioni hii kasimamia malecela...huyu mzee atabiriki ..ana uwezo wa kumuokoa na watu msiamini...pamoja na kuwa mkewe wazi anampinga lowassa[mnakumbuka kuna hisia kuwa wale vibaka waliomfanyia kitu mbaya wakati ule pale moro ..anasadikika walitumwa na mtandawoo]

hatima ya yule waziri ofisi ya waziri mkuu ambaye alikuwa akiwajibu nyodo wajumbe wa kamati na kutetea kuwa waziri mkuu hakuhusika wala hawezi hojiwa pale karimjee..sijui itakuwa ipi...

lowassa na jk ni marafiki wa yamini na wana siri nzito zinazoweza waangusha wote pamoja ..kama kutakuwa na kuwajibika ni jambo ambalo wataliamua woote na jk kwa pamoja na bila mikwaruzo...tusubiri..
 
Waswazi walisema kwamba NGOMA IKIVUMA SANA MWISHOWE HUPASUKA.Ndio ilivyobainika kwa ndugu Lowasa.Kwa kuwa utendaji wa Lowasa na Rais wake Kikwete hauwezi kutofautishwa sana wote ndio wanataka kila kitu waonekane wazuri na wote wanafanya kazi kwa vyombo vya habari na si kwa vitendo.Baada ya Lowasa next ni Jakaya Mrisho? BoT..IPTL..DEEP GREEN?.
 
I hope hii ripoti imerudisha imani ya Mwafrika wa Kike kwa Mheshimiwa Dr. Mwakyembe!

Haijarudisha chochote bado hapa, Mwakyembe amesema ambacho wengi hapa JF tulikuwa tunakijua tayari (na ameficha mengi sana hapa).

Kinachosubiriwa hapa ni next step...... Spinning ya kilichotokea na matokeo ya spinning..... tik tak tik tak........

Hata hivyo bado Mwakyembe ana nafasi ya kusafisha jina lake na kurudisha imani kwa wana JF. Kumbuka pia kuna report ya Buzwagi inamsubiri aitoe kwa public!
 
....inavyoonekana ni kuwa kama lowassa hatawajibishwa basi na hawa wa chini kina karamagi...wataweza kupona...

kikao cha kamati ya chama ambacho huongozwa na lowassa jioni hii kasimamia malecela...huyu mzee atabiriki ..ana uwezo wa kumuokoa na watu msiamini...pamoja na kuwa mkewe wazi anampinga lowassa[mnakumbuka kuna hisia kuwa wale vibaka waliomfanyia kitu mbaya wakati ule pale moro ..anasadikika walitumwa na mtandawoo]

hatima ya yule waziri ofisi ya waziri mkuu ambaye alikuwa akiwajibu nyodo wajumbe wa kamati na kutetea kuwa waziri mkuu hakuhusika wala hawezi hojiwa pale karimjee..sijui itakuwa ipi...

lowassa na jk ni marafiki wa yamini na wana siri nzito zinazoweza waangusha wote pamoja ..kama kutakuwa na kuwajibika ni jambo ambalo wataliamua woote na jk kwa pamoja na bila mikwaruzo...tusubiri..

Nakuunga mkono katika hili hapa hakuna ubishi hawa mabwana ni maswaiba sana ila katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita uswaiba wao ulianza kupotea na kisa kikubwa ni hii richmonduli
 
Back
Top Bottom