Hata sura they show no remorse yaani wamekomaa na sura mbaya sana za baadhi hapa . Mtahukumiwa na laana na mateso ya Watanzania viwe juu yenu.
My prediction is that . Next MP is Dr.Mwakyembe ama la atachukua uwaziri wa wizara nyeti .
Hapa hajiuzulu mtu mpaka kieleweke kama mtandao unakufa au unaendelea. Kila mtu anaogopa anachojua mwenzake na kuna mambo ya kumwaga mboga na ugali yanaweza kufanyika hapa.
So far ni usanii tu utaendelea kwa muda hapa! Lowasa amekataa kutoka, Rostam Aziz anapigia simu waandishi wa habari kama kawaida yake kuwaweka sawa na story za Dodoma, Usanii tu na Kikwete mwenyewe anafikiria kama aunde kamati nyingine ya kuchunguza hii kazi au aunde TAKUTAKUKURU (Taasisi ya Kuchunguza Taasisi ya kuchunguza (kuzuia) na kukomesha rushwa) baada ya hii skendo ya Hosea!
tik tak tik tak tik ...........
JK hawezi kumpa Mwakyembe u-PM: never!! ... sana sana anaweza kuambulia uwaziri au unaibu waziri. Mwakyembe ana uwezo sana lakini yuko the other side of the bench.
Mistake ambayo JK alifanya ni kuweka mwizi/jambazi/mhuni kuwa waziri mkuu
Naskia Lowasa ana sifa kuhonga dau kubwa editors of Leading Media ili kumpandisha kisiasa!
Hata akiwa waziri- ni jambo gani kubwa alilofanya licha ya upendeleo huko Monduli?
Alikuwa Maji, Mifugo, Ardhi-- je ni kipi cha ajabu EL alichawahi kufanya?
Ila utaona kote huku vyombo vya habari vilikuwa vikimsifia sana!
Angalia ndo alipiga debe Rweyimamu, Tido na yule Betyy mke wa Masanja kupewa ulaji!
Tusimlaumu Hosea wala msabaha.hawa wote walipata Maelezo kutoka kwa Bwana Mkubwa<ndanda Lowassa E.N Al fasadi>
Katika orodha hiyo kakosekana mzee wa Mtwara Mkapa, muongezee hapoMOST WANTED
View attachment 1079
WATAJWA HAPO JUU NI WATUHUMIWA WA UFUJAJI WA MABILIONI YA PESA ZA WATANZANIA KWA KUTUMIA KAMPUNI HEWA.YEYOTE MWENYE TAARIFA ZITAKAZO SAIDIA KUKAMATWA KWAO ANAOMBWA KUTOA TAAFIRA MARA MOJA KWA WATANZANIA
Sasa tunataka wabunge kama wameyaona haya shinikiza kamati ya BOT iundwe tuone madudu ya huko nina uhakika tutapata Miziki ya kuruka majoka kama M. Jackson kama siyo Sarakasi za Kichina
Huyu Mzinzi sana,si mtu makini kabisa.Nampendekeza Mhe. Lucas Seleli.(MB)
Basi Balali nae ni kafara tu- waliokula EPA ni RA na EL!
Swali je ni kwa nini hali hii inaendelea na itakuwa hivi hadi lini?
Wakuu nimesoma hii ripoti ya Dr Mwakyembe hadi nimesisimka! Amemkoma nyani balaa! Au niseme ameikoma minyani! Namkubali, naikubali kamati yake yote, na bado siamini kama waliweza kuandika ripoti ndefu kiasi hicho katika muda waliopewa, mahojiano yaliendelea hadi 27 Dec, na 31 Dec ripoti tayari! Walikuwa hawalali hawa jamaa! Hongera zao kwa sana.
Sasa tunasubiri hatua zitakazochukuliwa na JK, bunge nk kwa wahusika.
Swali la kizushi: Hivi PhD ya Mwakyembe na ile ya Edward Hosea ni sawa?
Wakuu nimesoma hii ripoti ya Dr Mwakyembe hadi nimesisimka! Amemkoma nyani balaa! Au niseme ameikoma minyani! Namkubali, naikubali kamati yake yote, na bado siamini kama waliweza kuandika ripoti ndefu kiasi hicho katika muda waliopewa, mahojiano yaliendelea hadi 27 Dec, na 31 Dec ripoti tayari! Walikuwa hawalali hawa jamaa! Hongera zao kwa sana.
Sasa tunasubiri hatua zitakazochukuliwa na JK, bunge nk kwa wahusika.
Swali la kizushi: Hivi PhD ya Mwakyembe na ile ya Edward Hosea ni sawa?
I hope hii ripoti imerudisha imani ya Mwafrika wa Kike kwa Mheshimiwa Dr. Mwakyembe!
....inavyoonekana ni kuwa kama lowassa hatawajibishwa basi na hawa wa chini kina karamagi...wataweza kupona...
kikao cha kamati ya chama ambacho huongozwa na lowassa jioni hii kasimamia malecela...huyu mzee atabiriki ..ana uwezo wa kumuokoa na watu msiamini...pamoja na kuwa mkewe wazi anampinga lowassa[mnakumbuka kuna hisia kuwa wale vibaka waliomfanyia kitu mbaya wakati ule pale moro ..anasadikika walitumwa na mtandawoo]
hatima ya yule waziri ofisi ya waziri mkuu ambaye alikuwa akiwajibu nyodo wajumbe wa kamati na kutetea kuwa waziri mkuu hakuhusika wala hawezi hojiwa pale karimjee..sijui itakuwa ipi...
lowassa na jk ni marafiki wa yamini na wana siri nzito zinazoweza waangusha wote pamoja ..kama kutakuwa na kuwajibika ni jambo ambalo wataliamua woote na jk kwa pamoja na bila mikwaruzo...tusubiri..