wananchi wenzangu mi nadhani lets go a step further to show what we can do for our country. Why not start online petition popote pale tukimuomba raisi awafukuze na kuwachukulia hatua hawa jamaa mafisadi? Surely we can do that as a first step, hata kama hataisikiliza au kuifanyia kazi, but it will be a right step either way.
Ukweli ni kwamba hatuwezi kuendelea na hizi politics za business as usual kwamba wabunge wetu ni waoga, sio wasomi nk, I think each of us here in JF and else where should try to figure out how he/she can influence changes in his/her constituency-at first. Personally mimi nimeshaanza kuwasiliana na jamaa zangu namna ya kupambana na mbunge wetu na sasa ni dhahiri vigezo ni vingi. It was an idea but as days goes by naona it is soon becoming a reality. Surely not everybody can do that, But we are convincingly talking to wananchi na wanaelewa. IT IS A MAMOTH TASK BUT WE HAVE TO START FROM SOMEWHERE.
Hivi mnajua kwamba everyday for two years Watanzania tunalipa MILLION 152 kwa kampuni hewa ya Richmond? for two years ontop of 35M $$? hebu jiulize wewe uliyeko nje unavyopanga foleni kwenye western union kutuma hard earned $$100 kwa mama au baba Kigoma au Rukwa kwa ajili ya matibabu yet we have people (are they people anyway?) are just filthy thugs? Achilia mbali mikataba mingine na ubakaji mwingine wa raslimali zetu? For how long can we go on like this, meanwhile waiting for some one to take a decision on our behalf? Hapana.
Guys, I have with honesty decided that this battle is for all Tanzanians to fight, otherwise it will be counter productive to expect others to fight our battle for our own good. It is impossible. It is my challenge to you all comrades. Tuanze kuangalia namna ya kufight status quo kwenye nchi yetu na tuanzie chini kwa hawa wawakilishi. What we are doing here in JF is an exceleent work but we need to go extra step, by encouraging all those with good will for our country to go on and others to join.
Ifike point tuache siasa za akina Kalonzo Musyoka na Kibaki na Mugabe za Opportunism, tuweke tofauti zetu pembeni tusaidiane namna ya kuikomboa Tanzania. Its tough, but who told you that anything good comes cheaply without sacrifice?
The Lowassa and Karamagis of this world are there to stay and continue abusing our intellect, it is our task to stand up and SHOW them that we are equally human beings like them and they cant continue fooling us forever. Na hakika tunaweza kupambana kwa kutumia msingi wa amani na mshkamano amabao watanzania tumekuwa nao kwa kipindi kirefu. lets use this much cherished peace and love in our country to do good!
Let us discuss, but surely we need to go further my comrades! Our house is burning and no body seems to care.