Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

View attachment 1085
Mwenyekiti wa Kamati Teule ya Bunge ya Kuchunguza Mkataba wa Richmond, Dkt. Harrison Mwakyembe, akiwapungia wabunge wenziwe wakati akiingia bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Emmanuel Kwitema)

MZAHA: Hii picha Mwakyembe amenyosha vidole viwili!- Je, ni ishara ya ushindi? Hapa Tanzania chama kinachotumia ishara hii ni CHADEMA huku CCM ikitumie dole gombe kuashiria mambo poa. Mbele ya Mwakyembe anaonekana Zitto Kabwe. Pembeni yake anayetabasamu ni Maulidah-Anna Komu Mbunge wa Viti Maalum aliyekuwa mgombea mwenza wa Urais 2005 kupitia CHADEMA. Picha hii imenipa tabasamu asubuhi hii.


JJ
 
KUMEKUCHA haya jamaa wana JF mlioko huko jikoni tupeni matokeoa ya mikutano ya CCM iliyofanyika usiku...
 
Harison.jpg



Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Kuchunguza mkataba wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Richmond Dr. Harison Mwakyembe akipongezwa na mbunge wa Busega Raphael Chegeni pamoja na wabunge wenzake nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma baada ya kusoma ripoti ya kamati yake leo. (Picha na Mwanakombo Jumaa).
 
Mnyika! CHADEMA!UPINZANI andaa maandamano . Wajiuzulu wasijiuzulu. Please!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
naaam wakuu kumekucha hakuna mpya yeyote kutoka dom tokea vikao vya usiku hadi sasa?

Taarifa nilizopata kutoka kwa mmoja wa wabunge waandamizi, kuna mgawanyiko mkubwa. Kuna kundi limeundwa kumtetea EL kwa nguvu zote maana raisi JK ameweka wazi maamuzi yake juu ya PM ni kauli ya bunge. Kuna kundi ambalo linapinga kuwa wakati umefika EL na wale waliohusishwa na hii kafsha watolewe...Mzee Malecela ambaye amepitia misuko suko mingi kiasi huenda kuliko mwanasiasa yeyote alikuwa muwazi bila woga akawaambia wabunge jamani wale wote waliotajwa wajiudhuru...habari za ndani zinadai Karamagi na Msabaha wameisha andika barua za kujiudhulu....Ajabu Mh Sita (Speaker) yuko kwenye kambi ya kumtetea EL ataendesha kikao kibabe na akiweza atashauri PM asichuliwe hatua zozote ni style ya utendaji na nia njema kwa serikali zidi ya wananchi..RA atafukuzwa uanachama wa CCM.. yote haya yatategemea na kambi ipi itakuwa kidedea....tusubiri tuone kama hiki ndicho kitakacho tokea...

Ushi wa Rombo
 
WOOOOOOOOOOOOHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

NA NYIEEEEEEEEEEE...WA BOT NA MADINI. WAKINA....ZITO.....MMEEONAAAAAAAAA WEKENI KICHWANIIIIII NA MOOYOONI.........

""""Aidha, tunakuhakikishia Mheshimiwa Spika kuwa hatukupokea senti tano ya mtu wala baiskeli yake. Mwenye ushahidi tofauti, basi alithibitishie Bunge hili tukufu. Mimi na wajumbe wenzangu wa Kamati Teule tuko tayari kuwajibika kisiasa.


AMINA! MWAKYEMBE FOR PRESIDENT


OLE WENUMTUSALITI
 
pisha njia wee pisha njia gari kubwa linakuja.

pisha njia weeee huu ni wakati wetu ya kucheza ngoma yetu ya kishenzi
 
Naskia Lowasa ana sifa kuhonga dau kubwa editors of Leading Media ili kumpandisha kisiasa!

Hata akiwa waziri- ni jambo gani kubwa alilofanya licha ya upendeleo huko Monduli?

Alikuwa Maji, Mifugo, Ardhi-- je ni kipi cha ajabu EL alichawahi kufanya?

Ila utaona kote huku vyombo vya habari vilikuwa vikimsifia sana!

Angalia ndo alipiga debe Rweyimamu, Tido na yule Betyy mke wa Masanja kupewa ulaji!


Tafadhali mkuu, tuwekane sawa bwana, maana hapa JF kuna mengi na wengi. Tusije anza kufanyiana dhahama hapa maana wengine tunatumia majina yetu halisi. Kwa hiyo ni vyema ukawa unafafanua. Thanks, tuendelee kukata issue namna ya kuondoka na mzee wa kasungura!
 
Tatizo ni lazima haya Mabepali yaliyotuhumiwa katika ripoti yatajaribu kuipinga kamati ,mara ooh hawakutuhoji! kwa nini wao hawakuipelekea kamati Taarifa mpaka wasubiri kuhojiwa? Nadhani ni vema viongozi watuhuiwa wa accept hali halisi na kufanya maamuzi ya kizalendo kwani kama ninavyosema 'machozi ya masikini ni dhambi kwa mfujamali za nchi" wajiengue ktk utawala!
 
wananchi wenzangu mi nadhani lets go a step further to show what we can do for our country. Why not start online petition popote pale tukimuomba raisi awafukuze na kuwachukulia hatua hawa jamaa mafisadi? Surely we can do that as a first step, hata kama hataisikiliza au kuifanyia kazi, but it will be a right step either way.

Ukweli ni kwamba hatuwezi kuendelea na hizi politics za business as usual kwamba wabunge wetu ni waoga, sio wasomi nk, I think each of us here in JF and else where should try to figure out how he/she can influence changes in his/her constituency-at first. Personally mimi nimeshaanza kuwasiliana na jamaa zangu namna ya kupambana na mbunge wetu na sasa ni dhahiri vigezo ni vingi. It was an idea but as days goes by naona it is soon becoming a reality. Surely not everybody can do that, But we are convincingly talking to wananchi na wanaelewa. IT IS A MAMOTH TASK BUT WE HAVE TO START FROM SOMEWHERE.

Hivi mnajua kwamba everyday for two years Watanzania tunalipa MILLION 152 kwa kampuni hewa ya Richmond? for two years ontop of 35M $$? hebu jiulize wewe uliyeko nje unavyopanga foleni kwenye western union kutuma hard earned $$100 kwa mama au baba Kigoma au Rukwa kwa ajili ya matibabu yet we have people (are they people anyway?) are just filthy thugs? Achilia mbali mikataba mingine na ubakaji mwingine wa raslimali zetu? For how long can we go on like this, meanwhile waiting for some one to take a decision on our behalf? Hapana.

Guys, I have with honesty decided that this battle is for all Tanzanians to fight, otherwise it will be counter productive to expect others to fight our battle for our own good. It is impossible. It is my challenge to you all comrades. Tuanze kuangalia namna ya kufight status quo kwenye nchi yetu na tuanzie chini kwa hawa wawakilishi. What we are doing here in JF is an exceleent work but we need to go extra step, by encouraging all those with good will for our country to go on and others to join.

Ifike point tuache siasa za akina Kalonzo Musyoka na Kibaki na Mugabe za Opportunism, tuweke tofauti zetu pembeni tusaidiane namna ya kuikomboa Tanzania. Its tough, but who told you that anything good comes cheaply without sacrifice?

The Lowassa and Karamagis of this world are there to stay and continue abusing our intellect, it is our task to stand up and SHOW them that we are equally human beings like them and they cant continue fooling us forever. Na hakika tunaweza kupambana kwa kutumia msingi wa amani na mshkamano amabao watanzania tumekuwa nao kwa kipindi kirefu. lets use this much cherished peace and love in our country to do good!

Let us discuss, but surely we need to go further my comrades! Our house is burning and no body seems to care.
 
Bunge Laaanza Rasmi Kushugulikia Ripoti Ya Richmondo

Stay In Tune:::wako Wauliza Maswali 54
 
WAZIRI MKUU::nimefadhaishwa sana nimeonewa sana na wala sijaulizwa,,kwanini muamini miningono yao badala ya kuniita mimi,,,msaidizi wako je?????/
 
breaking News::::

waziri Mkuuuu Aaachia Ngazi Aandika Barua Kwa Raisi Nakuomba Aachie Ngaziiiiii
 
zito:::::kwa Maoni Yangu Mimi Baraza La Mawaziri Zima Linatakiwa Kujiuzulu
 
Ni mapema kuandaa petition...tusubiri JK aamue, tukifanya sasa wanaweza tiwa "Pombe Maji"...
 
Lowasa na wenzake ni lazima wawajibishwe kwa namna yoyote ile:

=kwanza wao tunawapa nafasi waamue kujiwajibisha

=wakishindwa kujiwajibisha bosi wao Rais awawajibishe

=Rais akishindwa Bunge lifanye kazi yake

=Bunge likishindwa vyama vya upinzani vifanye kazi yake ikiwa ni pamoja na kuandaa maandamano ya kuwataka wajiuzuru

=Vyama vikishindwa taasisi za kiraia zinazotetea haki ya binadamu zifanye kazi yake

=Kama wote hao watashindwa nchi nzima italazima kuandamana kwa hali yoyote ikiongozwa na wadau wa JF
 
Lowasa na wenzake ni lazima wawajibishwe kwa namna yoyote ile:

=kwanza wao tunawapa nafasi waamue kujiwajibisha

=wakishindwa kujiwajibisha bosi wao Rais awawajibishe

=Rais akishindwa Bunge lifanye kazi yake

=Bunge likishindwa vyama vya upinzani vifanye kazi yake ikiwa ni pamoja na kuandaa maandamano ya kuwataka wajiuzuru

=Vyama vikishindwa taasisi za kiraia zinazotetea haki ya binadamu zifanye kazi yake

=Kama wote hao watashindwa nchi nzima italazima kuandamana kwa hali yoyote ikiongozwa na wadau wa JF
 
spika Aomba Ushauri::::

zitto:::wabunge Waomba Kuairisha bunge Kuwezpata Ushauri Zaidi
 
Kwenye Msafala wa Mamba Na kenge wamo..Mijusi Tunutunu...
Tafadhali!! endeleeni Kujiengua kama Kenge Kubwa lenu Lilivyo fanya...

Lowasa!!Bado Utatueleza ukweli tu...Ulitapeliwa au ulitutapeli..?

Lowasa..Meghji anafaa kua Waziri Mkuu?
 
Back
Top Bottom