Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

nilishamuhukumu Dr.Mwakyembe since day 1 baada tu ya kusema eti kuna facts wamezi hold kwa usalama wa nchi!!!!

Nasubiri Kubenea na timu yake watatuarifu nini tena baada ya kumalizwa kwa mambo haya na mamlaka husika.
 
Wanalipwa na nani hawa jamaa wanaporoka huu upuuzi huko bungeni, nasikitika sana nikiiangalia salary slip yangu. Damn @#$&$%#@# yaani natamani kum@#$$%% m2.
 
In the END ... The HOUSE was no longer there ... "From: Meeting in the Dark - AWS"
 

Usanii mtupu eti wametimiza wajibu wao wananchi wawarudishe kwa sababu tunaelekea kwenye uchaguzi kwa lipi tuwarudishe wababaishaji wakubwa chama kwa ndio baba ndio mama wanaomba huruma leo AIBU!!!
 




Presha inapanda inashuka. Hamna wapiganaji wala wapambanaji CCM. Mwenyezi Mungu inusuru Tanzania!!
 
for so long mimi nilikuwa nauliza kitu kimoja, kama kweli kunawapiganaji ndani ya ccm kwanini hawajatoka na kutangaza wazi kwa sisi wananchi kwamba wanajitoa CCM kwasababu hawapendezewi na Morals za CCM?

Na katika ili ndio maana naungana na Mrema kwamba wanaccm ni wambea na wanachochea wananchi. There is no point of saying kwamba Rais yuko na wezi au yupo compromised wakati wewe umo CCM ndani ya hao wezi. Toka tangaza unajitoa CCM kwa sababu you do believe CCM imezungukwa na wezi na uwezi kusupport chama cha wezi..
 
kudadadadadadaDEKI!!! kweli CCM wamejihalalishia wizi hivihivi???!!
 
Usaniii mtupu.
Mungu watangulie kila wanapotoa maamuzi wakati waDanganyika wanakufa kwa njaa. uwaongoze mpaka kuzimu Emen. shhhhhhhiitttttt!!!!! waDanganyika njooni Ubungo kanisani kwangu mtoe sadaka maana Mtautwaa ufalme wa mbingu
 

Kwakweli wananchi tunachanganyikwa wala si uongo, tizama leo hii kwa wao kufunika hilo kombe eti wanaunga mkono hoja my *** especially wale waliokuwa wanajidai kupambana na mafisadi kumbe yote mafisadi bull ****. Katika CCM hamna yeyeto atakaye thubutu kusema anatoka kwa ajili yakuto kukubaliana na maamuzi ya chama... Not in Tanzania.
 

ndio maana mimi nasemaga wanachama wote waCCm ni wasanii na hata wao sijui kamati ya Nyerere foundation pia ni wasanii.. Kwanini bado wapi CCM? wakati maadili na maamuzi ya chama kito tofauti dhamira yao ya ukweli, uzalendo, ujamaa na nafsi safi (corruption free), ambazo Nyerere aliacha?

Wapinzani wameona hili ndani ya CCM na ndio maana wanataka Kikwete arudi madarakani na wao wagombee ubunge.. tukiwa na wabunge wengi upizani watambana sana kikwete na hii ndio dawa pekee. pia nakubaliana na wengi Kikwete anamapungufu tena sana ila watanzania tuwe wakweli na tusiwe tunafata upepo. Kikwete akiwa na wabunge wampao pressure he could have do taken so many right decisions for this country. he is kind of easy going president ambaye hatujawahi kupata tanzania ila tuuu mapungufu yake mengi ya uongozi umetokana na kuwa na wabunge wengi wa CCM ambao wanakura hela zetu tuu..
 
Ile 70 % fata upepo ingekuwa na uwezo wa kung'amua nini CCM inafanya kwao, mabadiliko ya kina yangefanyika bila kuchelewa. KWA HIARI AU KWA NGUVU
 
Hakika ndg zangu wana JF mnafurahisha sana, naona hizo hisia zenu za kipuuzi hazitusaidii hapa , Kelele za kipuuzi sisi hatuzikubali wacha CCM waendelee kula mema ya nchi.

Unakuta jitu linapiga kelele hapa jamvini hakati hata kura halipigi, eti linajiita piganaji, hata basi kutoa elimu kwa wapiga kura wa jimbo lake halifanyi chochote, hilohilo unakuta linalalama, acheni ujinga ndugu zangu wana JF !!!

Tazama sisi wanatarime tuliamua kitu kimoja tuu hatutaki kudanganyika hata kidogo na hata CCM wanajua na ninasema 2010 wale viongozi wa CCM hawawezi kuja kujinadi huku Tarime, na kweli hivyo ndivyo itakavyokuwa.

Sikilizeni ninyi wasomi wangu, anzeni kuwaelimisha mama zenu , dada zenu , kaka zenu na hata baba zenu kuhusu elimu ya kupiga kura, kisha hayo CCM utawaona kama hawatapata changamoto.

Ndg zangu kama tutaweza kuongeza wabunge wa upinzani pale mjengoni hata huu upuuzi hatutauna lakini kama tutaendelea kuwapitisha wabunge wa CCM tena kwa idadi kubwa tusitegemee mabadiliko hata siku moja.
 
Kikao jioni kinaendelea, mchangiaji wa sasa ni Mhe. Kilimba, amepiga tune ile ile, pongezi pongezi na kuunga mkono.
 

Kuna mtu ana maelezo yote ya yaliyojadiliwa atuwekee ikiwemo taarifa ya kamati?

serayamajimbo
 
Sasa ni zamu ya Dr. Slaa ameanza kwa kutounga mkono hoja, amesema dhamira yake itamsuta kama atafuata mkumbo wa kuunga mkono hoja, ameanza kuichambua kama karanga.

1. Taarifa imelipuliwa bila viambatisho.
2. Bunge limemtuhumu Hosea hakutimiza wajibu wake, hakuwa makini, amepewa onyo na serikali. Taarifa kuwa eti suala la uchunguzi wa Takukuru dhidi ya wabunge, ndio itumike kama tisha nyau kwa bunge ndio limgwaye Hosea na kumwachia mkulu, amesema hii ni hatari kwa bunge.
3. Wale waliokuwa implicated sasa taarifa ya kamati imewa-clear. Hawa ndio hao washauri waliliingiza taifa kwenye hasara, eti wamestaafu na marupurupu yao yote, hiyo ndiyo adhabu?.
4. Overpayment ya dola milioni 4 ni bilioni 5, inajenga madarasa 1000 au zahanati 50. Hizi fedha ziko wapi?.
5. On Kiwira bilioni 17 za wafanyakazi zimekopwa, ziko wapi zirudishwe!.
6. Taarifa ya kuibiwa vifaa kiwira, ameshangaa hivi ni mpaka kamati bunge ndio ilione hili, hivi serikali haina wataalamu?.

7. Dr. Slaa amemalizia kwa ukali na uchungu kabisa toka moyoni mwake :

"Wabunge tuache siasa hapa ndani, tutimize wajibu wetu kwa wananchi waliotuchagua".

My opinioni: Dr. Slaa amesimama kuhesabiwa!.

Sasa Ole Sendeka anasimama na kusema ukweli, huyu ni mmoja wa wanaume wa shoka!.
 
Naona Ole Sendeka anaimba wimbo wa Kisifu Maazimio ya Serikali
 
Njaa ni kitu kibaya sana nadhani hii inatuonyesha rangi halisi ya hawa CCMbwa koko

Inatia kinyaa....
 
Ole Sendeka, anazungumza kwa kinyume nyume kuwa bunge sasa sio bunge mamluki.
Ameelekeza vita kwa vigazeti, akitolea mfano gazeti la Tazama la leo, amesema walikanyaga pabaya. Fisadi ni fisadi.

Akijielekeza kwenye taarifa.
1. Amepinga wanaosema hili liishe, ameshauri zoezi za kuwachunguza liendelee na taarifa ya uchunguzu huo ziwekwe bayana na kama wanamakosa, wachukuliwe hatua na kuvuna walichikipanda.
2. Tusidanganyane, hakuna kosa bila mkosaji, wataalamu wote wamesafishwa, jee wakosaji ndio wale wanasiasa basi washughulikia
3. Pamoja na makeke yote ya Ole Sendeka, nikidhani na yeye anasimama kuhesabiwa, ghafla amenimaliza kabisa alipounga mkono hoja kwa nina imani nyingi tuu na serikali ya JK.

Waziri Ngeleja anahitimisha hoja, itajaziliziwa na Waziri Marmo na atakayepiga msumari wa mwisho kwenye jeneza la Richmond bungeni, ni Mkuu wa Shughuli za Serikali Bungeni, Waziri Mkuu, Mhe. Misengo Kayanza Peter Pinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…