Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Mkuu, tunaposema Mwakyembe tuna maanisha kamati nzima iliyofanya kazi ile ya kihistoria.Jamani; Sio Mwakyembe PEKE yake, yumo pia Mh. Seleli, Eng. Manyanya, Mh. Mnyaa,... na Spika aliyewateua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, tunaposema Mwakyembe tuna maanisha kamati nzima iliyofanya kazi ile ya kihistoria.Jamani; Sio Mwakyembe PEKE yake, yumo pia Mh. Seleli, Eng. Manyanya, Mh. Mnyaa,... na Spika aliyewateua!
Mbona historia imeshaandikwa kuwa Mwakyembe et al ni mashujaa,wanaotafuta kutakasana na kusafishana wamechelewa kwa kuwa hali halisi inajulikana kuwa tulinyonywa na umeme wa dharura.Hata ile mvua ya kutengeneza nayo itakuwa imejifilia yenyewe maana ring leader yuko chali,miguu juu.
Kuhusu mvua mimi nina wasi wasi kidogo nadhani tungemalizwa Watanzania kwa acid ili wenyewe wauze nchi yetu kilaini.
Quote:- Bubu
Hivyo alichotakiwa kufanya Mwakyembe ni kuandika kila kitu ambacho waligundua wakati wa uchunguzi wao bila kubakisha chochote kwa minajili ya 'kulinda heshima ya serikali'. Kwa maoni yangu serikali inakuwa haina heshima kwa wale inawaongoza pindi mtu mwenye wadhifa mkubwa kama Waziri Mkuu anahusishwa na tuhuma nzito za Richmond kwa namna moja au nyingine.
Alichofanya Mwakyembe pamoja na kamati yake ya kujipa madaraka ambayo hawakuwa nayo kuhusu nini cha kuandika ni makosa. Pamoja na kuwa walifanya kazi nzuri kuna baadhi yetu tunaona kuna haki ya kuwakosoa na pia watufahamishe hayo waliyaacha ili 'kulinda heshima' ya serikali ni yapi.
hakuyaandika katika ripoti ile ili 'kulinda heshima' ya serikali wayajadili kwa mapana na marefu.
He said if the House decided that way, ``then it will be only fair for the parliamentary select committee to spill the beans by saying even those things we decided not to reveal as a way of safeguarding the government`s integrity``.
I strongly condemn any attempt or effort to curtail individuals' capacity and freedom to think and express their ideas independently.
Quote:- Kitila
So here we go then. Now we know, from Mwakyembe's mouth, that the committee did indeed hide part of the truth of their findings not for the fear of breaking or protecting any law whatsover, as some people here wanted us to believe, but "as way of safeguarding the government's integrity". Again, ubsurdly and somewhat ludicrous, the committee, working on behalf of the parliament, which is supposedly a representative of the wananchi, not the government, was so much concerned with the "integrity" and interest of the Government and not that of the public it was sworn to uphold and protect!
mwakyembe katimiza wajibu wake lakini hakuutimiza kikamilifu, ni mchapakazi lakini sio shujaa.
Quote:- Fact
2. However, if some MPs are dissatisfied with any decisions made on this (Richmond saga) issue, we should agree to annul the provisions prohibiting us from deliberating on the matter to allow them to speak their minds.``
Kama kuna mchango muhimu kwa Taifa letu umefanywa na Bunge, ni Ripoti ya Kamati ya Mwakyembe. Imefufua matumaini ya Watz wote na kuchochea uwazi na uwajibikaji kwa viiongozi waliokuwa wanakula bila kujali, bila kunawa na kufuta midomo yao. Leo, kuanza mjadala wa kusema Mwakyembe hafai eti kwa sababu ya maneno mawili aliyotumia akiwashughulikia mafisadi, ni utoto kama siyo umamluki. Kwanza sijui kama tulimwelewa vema mwanasheria huyo. Pili, kulinda heshima ya Serikali ni dhana ya kila kiongozi aliyeapishwa. Inaweza kuwa si dhana ya wana JF, lakini huo ndo ukweli. Lakini cha msingi, utamuuaje Jemadari aliyepiganisha vita tukashinda ati kwa maneno mawili usiyoyaelewa vizuri aliyosema baada ya ushindi? Chonde chonde, tusiingie mtego wa kuwasafisha akina Lowassa, Karamagi, Rostam na Mzee wa Vijisenti kwa kuwalaumu bila sababun ya msingi waanzilishi wa mapambano marefu na magumu ya ukombozi wa TZ.
Siri ya SIRI KALI!!!! Then why form a committee to investigate any wrong doings in the famous contract between Ricmond and TANESCO while you know that you'll be prohibited from discussing some of the findings!!! 😕
It is just another form of usanii and wastage of resources. WE WANT A FULL REPORT.