Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

we don have time and money to probe on Rostam' scandals,he better leave us with our country and get back to his home country.
Ametuibia,anataka tupoteze hela kumchunguza!!!!!!!!!!huyu jamaa vp
Kama kina JK kawaweka mfukon,akue si wa tanzania wote,,,aondoke atuachie nchi yetu
 
Rostam rudi Iran usituchanganye watanzania!
Nani atagharamia majaji na kama watakukuta na hatia iweje. Naomba serikali ikubaliane na hoja ya Rostam kwa kuanzisha mahakama maalum ya majaji kuwahukumu waliotenda ufisadi kwenye mchakato wa Richmond na EPA. Wapitie uchunguzi upya na watakao kutwa na hatia watakiwe kulipa gharama zote na mwishowe wanyongwe mpaka kufa. Dawa ya kidonda cha mguuni si kutibu ni kukata mguu!!!
 
Na Kagoda je, iundwe tume ya akina nani ili imchunguze Papa Fisadi Rostam Azizi!? Kishapata kiburi sasa anajua Kikwete hawezi akamgusa au kusema lolote baya dhidi ya ya huyu fisadi hivyo kapata nguvu ya kuongea upupu wake. Kigumu chama cha mafisadi! KIGUMU!
Kaka maneno makali sana hayo,punguza kidogo!
 
Rostam rudi Iran usituchanganye watanzania!
Nani atagharamia majaji na kama watakukuta na hatia iweje. Naomba serikali ikubaliane na hoja ya Rostam kwa kuanzisha mahakama maalum ya majaji kuwahukumu waliotenda ufisadi kwenye mchakato wa Richmond na EPA. Wapitie uchunguzi upya na watakao kutwa na hatia watakiwe kulipa gharama zote na mwishowe wanyongwe mpaka kufa. Dawa ya kidonda cha mguuni si kutibu ni kukata mguu!!!
Mzee hasira zimekupanda hadi unajikanyaga mwenyewe kwa maandishi yako!
 
amejaa dharau na kiburi, anatia hasira sana, ipo siku atajua kwanini kauli yake hii inakera na kukwaza.mfumo umemlea na kumdekeza huyu Fisadi
 
By The Citizen Reporter

A law don has shot down a suggestion by Igunga MP Rostam Aziz to have the report on the Richmond scandal that was tabled in Parliament to be scrutinised by a panel of judges as an untenable under the Constitution.

Mr Aziz raised the idea during an interview with Mwananchi Communication (MCL) journalists in Dar es Salaam yesterday. He said he wanted the panel of judges to give the "final say" on the report, which a deputy minister has described as a "fake."

Since the report was tabled in Parliament in February last year, Mr Aziz's name came out prominently as one of the persons behind the scandal, charges he has vehemently denied.

And, he now wants a panel of judges to look into the report and come up with "a verdict" on his role whole saga that involved awarding a tender for emergency power generation to dubious company.

"If the panel of judges finds me responsible in any way, I will resign all my posts and positions in the party so that legal action can be taken against me," Mr Aziz said. Mr Aziz is also a member of the National Executive Committee (NEC) and Central Committee (CC) of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM).

But Dr Sengondo Mvungi, who is a senior law lecturer at the University of Dar es Salaam (UDSM), told The Citizen yesterday that what Mr Aziz wants is impossible.

He said what Parliament did was to prepare a report and after it was debated openly in the August House, Parliament passed a number of resolutions and advised the Government to work on them, he said.

He said there was no one empowered to question what the Bunge did as long as it did so in line with the Constitution, the laws and regulations governing its conduct.

"Parliament did not investigate the matter the way the police would do. The Government, on the other hand, has all the powers to investigate what was written in the report and prosecute those mentioned if there is need to do so.

It is from this Government process that one can go to the courts of law to protest," he said.

When asked on the possibility of the Bunge resolutions being made subject to another estate of power, the Speaker of the National Assembly, Mr Samwel Sitta, asked for more time to consult the Parliament legal experts and parliamentary regulations.

"It is unfortunate that I cannot get hold of Parliament regulations right now and this issue should be clarified basing on what the regulations say. Therefore, give me time," he said.

Mr Aziz suggestion comes days only after the chairman of the Parliamentary select committee which investigated the Richmond scandal, Dr Harrison Mwakyembe, warned that there was evidence to prove what is contained in the in the report.

"There is evidence to prove that what is written in the report is true and those who continue to question it (the report) could be prosecuted," warned Dr Mwakyembe during one of the CCM secret meetings held last week in Dodoma. Like Dr Mvungi, Dr Mwakyembe is also a UDSM senior law lecturer.

It was during one of the same meetings that Ukonga MP and deputy minister for Labour, Employment and Youth Development, Dr Makongoro Mahanga suggested that President Jakaya Kikwete form a team of judges to authenticate the report.

Mr Aziz maintained yesterday that what has been written in the report regarding him, were all lies. "What is in the report is total fabrication, the truth is that I am not involved in any way with the Richmond scandal... they were not fair at all," he said.

Dr Mvungi said further that no one was empowered to query Parliament resolutions unless Parliament seriously breached natural justice in the process of arriving at the said resolutions.

"And by natural justice here I refer to the right of an accused person to be heard. What has been agreed in the parliament cannot be a subject of discussion outside the law making organ," he insisted.

An earlier attempt by Mr Aziz to defend himself backfired in parliament in April last year, after a heated debate ensued as Deputy Speaker Anne Makinda and two opposition legislators argued against the move by the Igunga MP.

Mr Aziz was due to present his formal defence in the House, but was barred from doing so.In his written response, Mr Aziz is said to have questioned the timeframe used by the select committee to investigate the scandal.

Initially, the Speaker had asked the Igunga MP to submit his response in accordance with Parliamentary standing orders. However, the House Steering Committee, upon receiving Mr Aziz's written submission, barred him from tabling it in the House.

Two opposition legislators told Parliament that the Igunga MP was barred to respond by his CCM party in order to protect the party.

Tabling of the report by Dr Mwakyembe's committee, saw the resignation of the former Prime Minister, Mr Edward Lowassa and two other members of the cabinet, Dr Ibrahim Msabaha and Nazir Karamagi.

The entire cabinet was dissolved following the Premier's resignation and President Kikweye forced to form a new cabinet that brought in Mr Mizengo Pinda as the Prime Minister.

Parliament formed the committee to investigate circumstances surrounding the contract between the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) and the US based Richmond Development Company.

That was after the company failed to honour its contract to produce 100MW of emergency electricity at a time when the country faced serious power shortage even after it was paid upfront dollars 172m, roughly Sh200 billion.

M/s Dowans later bought the plant that Richmond imported amid rumours that Mr Aziz had links to the company (Dowans).
 
Kama ni kwenda segerea,basi utakuta Rais na wabunge wote watakwenda huko kwani sio wasafi, akiwemo ata baba yako fisadi nyangumi

- Fact: A proven fisadi ni baba yako mdogo aliyekulea maisha yako yote kule Lugalo, aliyeiba Meremeta na Kiwira na kukupa baadhi ya hizo hela za ufisadi kumsomeshea mtoto wake wa kike majuu yaani nyumbani kwako kwa miaka mitano.

- Opinion: sasa tukipitisha azimio la kuwasweka Segerea, you know nani watakuwa wa kwanza kutangulia, Bwa! ha! ha! huku tukiwasubiri wengine kutoka Mirembe!




FMEs!
 
- Fact: A proven fisadi ni baba yako mdogo aliyekulea masiha yako yote kule Lugalo, aliyeiba Meremeta na Kiwira na kukupa baadhi ya hizo hela za ufisadi kumsomeshea mtoto wake wa kike majuu kwa miaka mitano.

- Opinion: sasa tukipitisha azimio la kuwasweka Segerea, you know nani watakuwa wa kwanza kutangulia, Bwa! ha! ha! huku tukiwasubiri wengine kutoka Mirembe!



FMEs!
mkuu achana nae mimi naujua uadilifu wako Personally tangu ukiwa Stakishari, inatosha kuubeba mzigo wako , na wazee wakabeba wao, wewe ni mtu mzima, jiamini simama mwenyewe kama ambavyo siku zote umekua ukisimama, huna haja yakujiingiza kwenye mijadala ya kitoto.
 
huu ndo upumbavu wa huyu mtu..i take him very low and to me he is like a comedian..they had time to dig and report everything asking to be given another chance si upumbavu huu...

To me as far as the Richmond saga is concerned the comedian is the TAKUKURU boss, the infamous Hosea. Alitumwa kuwambia watazamaji kwamba mfalme amevaa nguo nzuri sana kumbe mfalme yuko uchi! RA na EL walijua nini wanafanya isipokuwa wamekamatwa pabaya ndio maana wanatapatapa. Let us close the Richmond chapter sine die.
 
Rostam Aziz!!!!!!!!! kwa nini usirudi kwenu IRAN?? yaani wewe umetuibia halafu unataka tutumie pesa kukuchunguza wakati unajua fika umeiba? Usifikiri kwa kuwa Kikwete umemweka mfukoni mwako udhanie ni sisi wote!! Hakika kuna siku utakimbia hii nchi pila kupenda, na hao wanaokulinda siku zao zinahesabika!!!
 
Rostam Aziz!!!!!!!!! kwa nini usirudi kwenu IRAN?? yaani wewe umetuibia halafu unataka tutumie pesa kukuchunguza wakati unajua fika umeiba? Usifikiri kwa kuwa Kikwete umemweka mfukoni mwako udhanie ni sisi wote!!

Hakika kuna siku utakimbia hii nchi pila kupenda, na hao wanaokulinda siku zao zinahesabika!!!
 
- Unajua this is more than Sodoma and Gomora, I mean mtu alityeiba hela za wananchi badala ya kuwa Segerea, leo yeye tena ndiye anayeshauri nani ndio wawe mahakimu wake tena kwa jeuri ya ajabu sana, ndio maana huwa ninasema kuwa Mkapa na Mangula wana dhambi ya ajabu mno kwa sababu ndio waliotuletea hawa watu kwenye serikali, ninakumbuka ile hotuba yake maarufu sana kwamba nitawashangaza wa-Tanzania kwa kuwachagulia Rais safi na bora sana!

- Only in Tanzania, where mwizi anaweza ku-determine nini kifanyike au kisifanyike dhidi yake!

Respect.

FMEs!


Mkuu, the guy is smart. It will be same process, mkamate Zombe mweke rumande ata the end of the day waliowaua kina Lunkombe are walking free wakinywa soda kwa uma. Huko ndio RA anataka kutupeleka, he wants to drag us into his home ground where all the refs are in his pocket, what do you expect. Itakuwa ni kesi ya Nyani kwa ngedere, the verdict can be predicted.
 
RA anatakiwa arudishwe kwao alikozaliwa shida ni usalama wa Taifa wanamwacha afanye analotaka wananchi waendelee kuteseka.

Hajahudhuria vikao vya bunge, alionekana tu pale JK alipotinga Bungeni kwenye suala la EPA. Yeye anaonekana kwenye CC na NEC huko ndo anapakusemea kwani kuna wenzie Makamba, Chenge, EL n.k Sasa ebu tusubiri NEC ijayo tupime nguvu zake, ameiteka nchi.
 
serikali ya kikwete kaiweka mfukoni sembuse tujaji.......hapa tunaendelea kudanganyana tu...mpaka kufikia alicho sema inamaana kwanza kaomba ushauri kwa rais iwapo atamsaidia kama akiamua kujisafisha kwa kuwatumia majaji...rais amekubali (si mnajua uswaiba wa rostam na jk ulianza zamani sana kama ilivyo kwa lowasa?)....tumechoka kudanganyika jamani kwa nini mnaendelea kutufanya wajinga kiasi hiko?
 
yeye anakwambia ni msukuma piwa...wasukuma mpo? kwa uzoefu wenu nyie wasukuma rostam aziz ukoo wake unaeleweka huko?
Kajamaa kanatusumbua sana aisee....au kwa vile kanasema kameiweka nchi mfukoni mwake?
Rostam Aziz!!!!!!!!! kwa nini usirudi kwenu IRAN?? yaani wewe umetuibia halafu unataka tutumie pesa kukuchunguza wakati unajua fika umeiba? Usifikiri kwa kuwa Kikwete umemweka mfukoni mwako udhanie ni sisi wote!!

Hakika kuna siku utakimbia hii nchi pila kupenda, na hao wanaokulinda siku zao zinahesabika!!!
 
Hahaha, very interesting indeed... Sijui itakuwaje? Mzimu wa Richmond utaendelea kuwatafuna, ni heri liwalo na liwe, mjadala huu ufungwe before 2010!

Huu mjadala ufungwe huku tukushuhudia akina EL na RA wakiwa Keko kwa Liumba kama kwa Liumba imewezekana tunashindwaje kuwaweka hawa jamaa Keko au ndo kubebana?
 
vipi tena jamani mambo ya nyangumi?
Umefurahi kwa kuwa rostam kaiweka nchi mfukoni?
Si unaona anavyo weza kumburuza jk kuhusu nini kifanyike juu yake?
Kamati teule ile makini ya bunge mbona imetoa ripoti beyond uchunguzi wa kipolisi na imefanya uchunguzi ambao takukuru walishindwa na hawawezi.
Basi kwa kuwa jk.eostamu,lowasa na vikaragosi wengine wanaiamini zaidi takukuru basi tuiombe irudie tena uchunguzi wake.......................
Kama ni kwenda segerea,basi utakuta Rais na wabunge wote watakwenda huko kwani sio wasafi, akiwemo ata baba yako fisadi nyangumi
 
aliyeshiba hamjui mwenye njaa................
Huu mjadala ufungwe huku tukushuhudia akina EL na RA wakiwa Keko kwa Liumba kama kwa Liumba imewezekana tunashindwaje kuwaweka hawa jamaa Keko au ndo kubebana?
 
Huu mjadala ufungwe huku tukushuhudia akina EL na RA wakiwa Keko kwa Liumba kama kwa Liumba imewezekana tunashindwaje kuwaweka hawa jamaa Keko au ndo kubebana?
Mkuu Tatizo nani wa kumfunga paka kengele? RA na EL waende Keko? naona kwa jinsi walivyoishika nchi labda aanze Jk!
 
Sidhani kama tunafikiria sawa, ila RA ana huakika wa kutokutwa na tatizo maana aliwatumia wabongo wenzenu kufanya hayo.

He is smart!
 
Back
Top Bottom