Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
You mean he was smart to them CCM......not to the rest of us....I dont think that he is still smart
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He is a king maker; waweza kukuta ameshaandaa majaji, ameshapanga mambo yote halafu anakuja kututishia nyau
Mimi nashangaa sana nchi yetu, mtu anakuja anakuibia, anakutukana halafu anasema nataka akupe hadi mtu wa kumchunguza na kutoa hukumu... na ukikataa anasema eti ataacha mbinu zote na mirija yote anayoitumia kukuibia na kukugawia chenji, who the hell is this guy?
Sh!T
RA anatakiwa arudishwe kwao alikozaliwa shida ni usalama wa Taifa wanamwacha afanye analotaka wananchi waendelee kuteseka.
Hajahudhuria vikao vya bunge, alionekana tu pale JK alipotinga Bungeni kwenye suala la EPA. Yeye anaonekana kwenye CC na NEC huko ndo anapakusemea kwani kuna wenzie Makamba, Chenge, EL n.k Sasa ebu tusubiri NEC ijayo tupime nguvu zake, ameiteka nchi.
Nilichoaandika hapo,ni kwamba hakuna aliyemsafi.vipi tena jamani mambo ya nyangumi?
Umefurahi kwa kuwa rostam kaiweka nchi mfukoni?
Si unaona anavyo weza kumburuza jk kuhusu nini kifanyike juu yake?
Kamati teule ile makini ya bunge mbona imetoa ripoti beyond uchunguzi wa kipolisi na imefanya uchunguzi ambao takukuru walishindwa na hawawezi.
Basi kwa kuwa jk.eostamu,lowasa na vikaragosi wengine wanaiamini zaidi takukuru basi tuiombe irudie tena uchunguzi wake.......................
.mkuu achana nae mimi naujua uadilifu wako Personally tangu ukiwa Stakishari, inatosha kuubeba mzigo wako , na wazee wakabeba wao, wewe ni mtu mzima, jiamini simama mwenyewe kama ambavyo siku zote umekua ukisimama, huna haja yakujiingiza kwenye mijadala ya kitoto.
Nilichoaandika hapo,ni kwamba hakuna aliyemsafi.
Wewe kwa akili yako unaamini John Samwel Malecele ni msafi?Tangu kuwa mkuu wa wilaya ya Rungwe miaka ya 70 mpaka kuwa waziri mkuu amefisadi vingapi?.Kilichomshitua leo na kupiga kelekele nini?
Unaamini Samwel Sitta ni mtu Safi?Tangu serikali ya mwinyi mpaka leo amefisadi vingapi?.Leo ameshituka nini?
Cha maana hapa ni sisi wananchi kusema sasa basi,ondokeni.Lakini ukiamini porojo za mwimbaji wa hip hop ndugu mwakyembe,unaona ni upuuzi.njaa tu hapo
ni kama vile Rostam anavyojiteteaga kuwa Mengi anamadeni mengi , ni yeye alifilisi NBC ...NA UPUMBAVU MWINGINE kama huo,Ni vizuri kama unaelezea hapa ukatoa ushahidi wa hao unaowataja! Mambo ya unajua........... leleleee............. hapa haitusaidii!
Huyu RA ripoti ipo inaeleza, soma Mwanahalisi ya leo jinsi Serelii alivyomchambua RA, kila mtu anajua na kila mtu anaelewa. Angalia usijeonekana kama mama SS unaposema sijui wote ni mafisadi kusudi kupoteza ushahidi! JITAMBUE CHUKUA HATUA!!!
Inadaiwa alitinga Tanzania mara ya kwanza 1979 toka Shirazi akija kwa wajomba zake waliokuwa wawindaji huko Igunga.Ni marehemu Azan Al-Jaabry ndio aliemtia CCM kwa mgongo wa marehemu Charles Kabeho.Sijawahi kusikia scoolmate,playmate,collegemate wake hata mmoja.Mbaya hakupita JKT ndio maana malafi hivyo......
Sidhani kama tunafikiria sawa, ila RA ana huakika wa kutokutwa na tatizo maana aliwatumia wabongo wenzenu kufanya hayo.
He is smart!
Asante sana! Ni kweli hana school mate wala play mate hapa Tanzania. Ila CCM ukiwa fisadi wanakukaribisha mara moja....nchi yetu tujifunze kuwa na vetting sytem mtu hana hata uraia sasa hivi ni untouchable anaweza fanya lolote kwenye jamhuri ya Muungano hakuna wa kumyoshea kidole. Siwezi shangaa upupu alousema ndo ukatekelezwa kwa gharama nyingine kubwa. Tume ya majaji kumsafisha Rostam
.Ni vizuri kama unaelezea hapa ukatoa ushahidi wa hao unaowataja! Mambo ya unajua........... leleleee............. hapa haitusaidii!
Huyu RA ripoti ipo inaeleza, soma Mwanahalisi ya leo jinsi Serelii alivyomchambua RA, kila mtu anajua na kila mtu anaelewa. Angalia usijeonekana kama mama SS unaposema sijui wote ni mafisadi kusudi kupoteza ushahidi! JITAMBUE CHUKUA HATUA!!!