Ripoti ya Sky News kuhusu Magufuli na COVID-19

Ripoti ya Sky News kuhusu Magufuli na COVID-19

Corona imekuwa kama habari za Zitto Kabwe alipokuwa akizunguka majukwaani kusema Tanzania imekumbwa na njaa watu wanakufa kwa njaa serikali iingilie kati.
Sijui ile njaa iliishia wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe hapo ulipo una ngoma?
Kama huna ina maana ngoma haipo?
Sasa Mrs Missile of Nation unataka kusemaje? Watanzania wanaficha madhara ya Corona? au unataka blindly tujiweke kwenye lockdown? Mbona hapa Tanzania vifo vya malaria kwa siku ni zaidi ya vya Corona?

Mamlaka zimeamini kuwa ugonjwa huu kwa nchi yetu una madhara sawa tu na maradhi mengine. Tena fatality rate yake ni ndogo mno kwa nini uwafungie watu ili uwafurahishe mabwana wakubwa huko Ulaya na Amerika?

Vyuo vikuu vilifunguliwa tangu June 1, mpaka leo hatuna taarifa ya outbreak na vifo vya mfululizo au hata kifo kimoja kwenye chuo chochote.Kwa nini tusiamini kuwa Corona in Tanzania is story of the past???
 
Mada inazungushwa zungushwa na maneno mengi, lakini haisemi alichofanya Magufuli ambacho ni tofauti na walichofanya wengine wote kinachosababisha pawepo na tofauti kati ya Tanzania na hizo nchi nyingine..
Kiufupi, ni mipasho tu ya mapambio yasiyokuwa na maelezo.

Kenya kama ameigiza nchi nyingine, na huko Afrika ya kusini nako hivyo hivyo, na Rwanda je, kamwigiza nani. Uganda kamuiga nani?

Corona haipo Tanzania?

Watu Tanzania hawafi, unajua vifo vinavyotokea vinasababishwa na nini?
 
Kwa hiyo ukiwa na Corona mtu huanguka na kufa?

Halafu hapo “jirani” ndo wapi? Manake isije ukawa unajizushia tu mambo wewe...
Wengine kabla ya corona Mambo ya kuanguka na kufa tulikuwa hatujawahi kuyaona.Gongolambo mkuu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hapa tunazungumzia corona wewe!

Nani unayemjua kwa ukaribu kafa kwa Corona?
Shida yetu kubwa hatupimi kwa hivyo tunashindwa kutetea status yetu kisayansi na hivyo kutoaminika na mataifa mengine. Na hilo litaendelea kututafuna kimataifa. Tumewapa nafasi za wazi washindani wetu (kama Kenya) kutunanga na kutuchafua.

Nakubaliana na wewe kuwa kwa watu wanaonizunguka hakuna ninayejua kuwa anaumwa au kafa kwa corona. Lakini hii observation yangu inapita kwenye scrutiny ya kisanyansi? Pengine hapana.
 
Huku chuoni wanachuo wanabanana kila siku bila hata barakoa na kunawa wameshaacha sasahivi lakini sijwahi pata taarifa yeyote ya mwanafunzi yeyote kuugua homa ya Corona Wala dada yake na Corona.

Nafikiri Corona ingelikuwepo Tanzania kwa maisha haya ninayo yaona huku chuoni watu wangefuka kama ndege John na hospital zingejaa wagonjwa mithili ya mchanga wa bahari.
 
Kuonyesha kuwa hatujaathirika kama ilivyotarajiwa.

Au we mwenzetu una Corona?

Watu walishatishwa wakatishika na serikali ikaamua kuachana na testing. Waganga na wauguzi wakaogopa hata kupokea wagonjwa; watu wakawa wanaugua lakini hawaendi ‘spitali’ kwa kuhofia wataambiwa wana korona. Kwa hiyo hakuna ‘spitali’ yenye mgonjwa wa korona na hospital attendance imepungua kupita maelezo kiasi kwamba watu wanaweza kufa kwa magonjwa mengine kwa kushindwa kwenda ‘spitali’ ambapo wanaweza ambiwa wana korona.

Kwa hali ilivyo watu wanaweza kuugua korona na kufa kisha isemwe kuwa wamekuwa kwa pneumonia au ugonjwa wowote ule lakini siyo covid19 sababu wanasiasa wamesema haupo. Mind you, mwongozo wa wizara ya afya kuhusu covid19 haujabadilika; madaktari wasema kweli bila hofu au unafiki wanaweza kukuambia ukweli usiopendwa na wanasiasa.

Hata PM jan on ITV kasema korona haipo! Je ni kweli korona haipo?

Tuchukue tahadhari:
1. Tudumishe social distance.
2. Tunawe mikono kwa sabuni na maji tiririka.
3. Kama ni lazima uwe kwenye misongamano isiyoepukika vaa barakoa.
4. Kula mlo kamili
5. Fanya mazoezi yanayokutoa jasho ku improve cardiovascular endurance.

Korona bado ipo lkn inaepukika!

Tuchukue tahadhari!
 
Shida yetu kubwa hatupimi kwa hivyo tunashindwa kutetea status yetu kisayansi na hivyo kutoaminika na mataifa mengine. Na hilo litaendelea kututafuna kimataifa. Tumewapa nafasi za wazi washindani wetu (kama Kenya) kutunanga na kutuchafua.

Nakubaliana na wewe kuwa kwa watu wanaonizunguka hakuna ninayejua kuwa anaumwa au kafa kwa corona. Lakini hii observation yangu inapita kwenye scrutiny ya kisanyansi? Pengine hapana.
Inawezekana wapo wengi tu wakuzungukao walio na hiyo corona.

Lakini si ajabu haijawaathiri kiasi cha wao kuugua na kushindwa kuendelea na shughuli zao za kila siku.

Na hilo ndo jambo ambalo nimekuwa nikilisema tokea mwanzo. Kwamba, coronavirus si hatari kama tunavyoaminishwa!

Maana, ingekuwa ni hatari kama isemavyo, ingeonekana tu!!
 
Yes, nakubaliana na wewe 100%.
 
Back
Top Bottom