Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Sasa Mrs Missile of Nation unataka kusemaje? Watanzania wanaficha madhara ya Corona? au unataka blindly tujiweke kwenye lockdown? Mbona hapa Tanzania vifo vya malaria kwa siku ni zaidi ya vya Corona?Wewe hapo ulipo una ngoma?
Kama huna ina maana ngoma haipo?
Kwa hiyo ukiwa na Corona mtu huanguka na kufa?Jana tu hapa jirani Kuna mtu kaanguka na kufa.Hivi mzee wa uwazi alilazwa kwa siku ngapi vile?
Hapa tunazungumzia corona wewe!Sina ndugu aliyewahi kufa kwa Hepatitis B
Haimaanishi kwa mfano kuwa Hepatitis B haipo
Hii ni swali la hovyo kuilizwa na lisilo na maana yoyote. Ni sawa na mtu aseme kwa kua hakuna ndugu, jamaa au rafiki yake ambae amekufa kwa ukimwi basi ukimwi haupo.Ndugu zako wangapi wamekufa na corona?
Wengine kabla ya corona Mambo ya kuanguka na kufa tulikuwa hatujawahi kuyaona.Gongolambo mkuuKwa hiyo ukiwa na Corona mtu huanguka na kufa?
Halafu hapo “jirani” ndo wapi? Manake isije ukawa unajizushia tu mambo wewe...
Kuonyesha kuwa hatujaathirika kama ilivyotarajiwa.
Au we mwenzetu una Corona?
Na bado Kuna mtu Ina mtafutaLofa kilicho muua ninini? Watu wanajua kinachoendelea.
Shida yetu kubwa hatupimi kwa hivyo tunashindwa kutetea status yetu kisayansi na hivyo kutoaminika na mataifa mengine. Na hilo litaendelea kututafuna kimataifa. Tumewapa nafasi za wazi washindani wetu (kama Kenya) kutunanga na kutuchafua.Hapa tunazungumzia corona wewe!
Nani unayemjua kwa ukaribu kafa kwa Corona?
Kuna aliyesema Corona haipo?Hii ni swali la hovyo kuilizwa na lisilo na maana yoyote. Ni sawa na mtu aseme kwa kua hakuna ndugu, jamaa au rafiki yake ambae amekufa kwa ukimwi basi ukimwi haupo.
Kuonyesha kuwa hatujaathirika kama ilivyotarajiwa.
Au we mwenzetu una Corona?
Hii kavu kavu kuna vichwa vi 3 vishatambaaWewe si upo US?
Inawezekana wapo wengi tu wakuzungukao walio na hiyo corona.Shida yetu kubwa hatupimi kwa hivyo tunashindwa kutetea status yetu kisayansi na hivyo kutoaminika na mataifa mengine. Na hilo litaendelea kututafuna kimataifa. Tumewapa nafasi za wazi washindani wetu (kama Kenya) kutunanga na kutuchafua.
Nakubaliana na wewe kuwa kwa watu wanaonizunguka hakuna ninayejua kuwa anaumwa au kafa kwa corona. Lakini hii observation yangu inapita kwenye scrutiny ya kisanyansi? Pengine hapana.
Yes, nakubaliana na wewe 100%.Inawezekana wapo wengi tu wakuzungukao walio na hiyo corona.
Lakini si ajabu haijawaathiri kiasi cha wao kuugua na kushindwa kuendelea na shughuli zao za kila siku.
Na hilo ndo jambo ambalo nimekuwa nikilisema tokea mwanzo. Kwamba, coronavirus si hatari kama tunavyoaminishwa!
Maana, ingekuwa ni hatari kama isemavyo, ingeonekana tu!!
hakuna korona bongo hata wew mi shahidi na ndiomaana huvai barakoa. Ni vyema kufurahia ushndi kwaSerikali ilijitoa, sasa hivi korona ni ishu ya kila familia kujijua kivyakevyake
Hatuna takwimu halisi za kiwango cha korona nchini