ni muhimu sala,maombi na jitihada za kila mTanzania zikaelekezwa katika kuwaombea wenzetu Mwenyezi Mungu awanusuru na dhahama wanayoipitia chini ya vifusi vya jengo lililoporomoka kariokoo..Kwani tukibaini chanzo cha tataizo ni vibaya?
Huo ni upuuzi.ni muhimu sala,maombi na jitihada za kila mTanzania zikaelekezwa katika kuwaombea wenzetu Mwenyezi Mungu awanusuru na dhahama wanayoipitia chini ya vifusi vya jengo lililoporomoka kariokoo..
Mungu atujaalie subra na kusiwe na haraka na mengineyo π
Mungu akubariki sana gentleman, ikiwa sala na maombi kwa Mungu ni upuuzi mtupu...Huo ni upuuzi.
Badala ya kufanya kazi kwa UFASAHA NA UFANISI mnaendekeza RUSHWA NA KUUA ELIMU.
Sala na maombi vingelikuwa vinafanya kazi CCM wangeliwaondoa woooote wanao wakosoa.
Hizo sala na maombi vingelikuwa vinafanya kazi msingelikuwa mnashangilia utekaji wa watu wala kuteka watu,maombi tu yangeliwafanya watu wasiwakosoe viongozi wa CCM.Mungu akubariki sana gentleman, ikiwa sala na maombi kwa Mungu ni upuuzi mtupu...
Hata hivyo,
kama taifa, yafaa kuendelea kumlilia Mungu bila kujali kufuru za wanao puuza sala na ibada.
Tumuombe Mungu aendelee kutufanyia wepesi waTanzania walionasa kwenye vifusi waokolewe salama.
Mungu akubariki sana gentleman π
neno zingelikua ni kiungo cha ubishi na ukaidi kisichokua na uhakika gentleman ...Hizo sala na maombi vingelikuwa vinafanya kazi msingelikuwa mnashangilia utekaji wa watu wala kuteka watu,maombi tu yangeliwafanya watu wasiwakosoe viongozi wa CCM.
NITAFURAHI SANAAAAAA UKILETA ANDIKO HAPA LIKIELEZEA MAUMIVU ULIYONAYO KUTOKANA NA KUFIWA NDUGU ZAKO WEEEENGIIIIII KUTOKANA NA AJALI YA HILO GHOROFA.
Tume huundwa nyuma ya mikamera majibu utayakuta nyuma ya paziaMwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko!
Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto.
Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na kuwasilisha ripoti yake! Nakumbuka mojawapo ya taarifa ya Tume hiyo ilibainisha kuwa majengo mengi Dsm ( ikiowemo Hilo lilolodondoka la Chang'ombe) yamejengwa chini ya kiwango na ...mbaya zaidi bila vibali vya Mamlaka husika!
Tunaoishi kwa matumaini tukajua sasa ujen zi holela itakuwa historia!
Kinyume chake Kariakoo ikaendelea kujengwa ! Magorofa yaliyokuwa Makazi ya watu yakabadilishwa kuwa ya kibiashara! Yaani mtu anakarabati Jengo anaweka fremu, na wengine wamethubutu Hadi kujenga magorofa ya chini...underground floor! Hili halihitaji uwe na Diploma ya Uhandisi kuhoji uhalali na usalama wa hatua hizi!
Bila shaka Wataalam wale walishauri mambo mazuri kuondoka na kadhia hii!
Leo hii yamejirudia Yale Yale tunapoteza watu ! Pale K
isutu Jengo liliporomoka likijijengwa ....tatizo Nini !
Mbona tunakuwa kama wanyama!
Endelea kububujikwa.neno zingelikua ni kiungo cha ubishi na ukaidi kisichokua na uhakika gentleman ...
Mtu wa aina hiyo yupo zigzag tu, hajui aseme nini wakati gani, adai nini wapi, aama ajadili nini kwa wakati upi ndiyo wewe sasa na wenzako mlivyo dah π€£
Relax gentleman,Endelea kububujikwa.
Tunaendelea kuomba Mungu awanusuru, huku tukijadili inakuwaje tunakuwa mazombi hivi....lakini tatizo. La kwanza ni wale wapumbavu...kama wewe! wanaendelea kushabikia mfuno mbovu.kazi kubwa na ya maana sana iliyoko sasa ni kuwaokoa wahanga waliofunikwa na kifusi cha ghorofa lililoporomoka kariokoo..
Tumuombe Mungu aendelee kutufanyia wepesi na kutuonyesha njiani ili wahanga wengi zaidi walio hai, walionasa kwenye kifusi,waweze kuopolewa.
Mungu Ibariki Tanzania π