Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIZI SARAKASI MBONA SIZIELEWI, UGONJWA SI UMEISHA NA KESHO NI KILELE CHA CORONA??!!
Wanaliogopa jiwe! Pumbavu zao hawana maana hawa! Leo ndio wanajitia kuvaa Barakuwa?
Si wapumbavu, wanajua virusi viko.
mkuu kwani corona bado ipo ?
Unategemea nini wakati RC wa Dar anasema jitokezeni mitaani na kupiga mayowe na kusherehekea?Nimepata taarifa kuwa jiji la Dar limeshambuliwa sana na Corona baada ya watu kupuuzia hatua za kujikinga. Mambo yamevurugika kabisa.
Kwa ushauri wa wale wataalamu/wachawi mia wa Gamboshi
Ni jambo jema!
Kwann Dar na sio Dodoma??