Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

HIZI SARAKASI MBONA SIZIELEWI, UGONJWA SI UMEISHA NA KESHO NI KILELE CHA CORONA??!!
 
Abapodai mashine moja ilikuwa imeharibika ana maana gani. Kwa kawaida ni mashine moja tu ndiyo inayopima.

Wawe wakweli tu.....!!
 
Amesema kile jiwe anachotaka kukisikia angesema tofaut ni Kama angekua anamuumbua boss wake jiwe so kalenga umo umo anaogopa yasimkute ya Ndugulile
 
Mbona wamevaa barakoa tena au wanachagua pakuvaaa?!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Matatizo ya kifikra tuliyonayo Tanzania yalianzishwa na "zidumu fikra za mwenyekiti" Enzi za Nyerere. Ukiwa na fikra tofauti ukachallenge fikra za walio madarakani unaambiwa kuwa unatumiwa na mabeberu as if huna akili ya kufikiria mwenyewe. Leo wanakwambia tumeishinda Covid halafu bado wanaogopa na kujificha uswekeni Chato.
 
ngoja tupenyeze tena sampuli za ng'ombe na mananasi katika hiyo maabala mpya tuone...
 
Nimepata taarifa kuwa jiji la Dar limeshambuliwa sana na Corona baada ya watu kupuuzia hatua za kujikinga. Mambo yamevurugika kabisa.
Unategemea nini wakati RC wa Dar anasema jitokezeni mitaani na kupiga mayowe na kusherehekea?
 
Nimepata majibu kiwa mashine zote ni original, wamekwepa ugomvi na mabeberu....

Respect!!!!
 
Back
Top Bottom