Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Taaaisi zipi za kiuchunguzi zimeshiriki zoezi Hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ayaaa!! kwani Jiwe karudi??Tulieni Dawa iwaingie
Fungate imeisha Ndg Yangu sexless
kama haja edit anaweza akafanya jambo la ajabu sana. TusubiriAliona kuna shida pahala....akataka uchunguzi....na sasa ripoti imetoka
tuwe wavumilivu maana angeweza kukaa kimya.
na hapa kuna watakaochomoka mazima.
nakuamini sa100
Kwahiyo CAG kichere alikuwa anatumikia serikali ya CHAUMA??Yaani serikali ya CCM ijifanyie uchunguzi halafu itoe ripoti inayoichafua serikali??
Hahahahaa jamani eeeh…tutumiage akili zetu tulizozaliwa nazo!
Hapo concentration yake iko March wakati yeye akiwa rais kuanzia March 17.
Huko nyuma, Februari na Januari hazimhusu kwani hakua rais na hata waliozipiga wakizema walipewa amri na rais aliekuwepo inakua hakuna namna ya kumfanya.
Anyway ngoja tusubiri tuone.
MyopiaHapo concentration yake iko March wakati yeye akiwa rais kuanzia March 17.
Huko nyuma, Februari na Januari hazimhusu kwani hakua rais na hata waliozipiga wakizema walipewa amri na rais aliekuwepo inakua hakuna namna ya kumfanya.
Anyway ngoja tusubiri tuone.
Hapana,Hapo concentration yake iko March wakati yeye akiwa rais kuanzia March 17.
Huko nyuma, Februari na Januari hazimhusu kwani hakua rais na hata waliozipiga wakizema walipewa amri na rais aliekuwepo inakua hakuna namna ya kumfanya.
Anyway ngoja tusubiri tuone.
Umeandika nini? Naona una panic. Lazima ulinufaika na huo wizi.Hapo concentration yake iko March wakati yeye akiwa rais kuanzia March 17.
Huko nyuma, Februari na Januari hazimhusu kwani hakua rais na hata waliozipiga wakizema walipewa amri na rais aliekuwepo inakua hakuna namna ya kumfanya.
Anyway ngoja tusubiri tuone.
Mkuu,Nasubiri kudanganywa