Nakumbuka sana na nilikubaliana na ulichoandika kwamba maccm yote ni machafu hivyo hakuna wa kumnyooshea mwenzie kidole. Bado tuna safari ndefu sana sijui miaka mia ijayo au mpaka itokee vurugu kubwa sana ya mauaji ya kutisha labda ndiyo nchi itakaa sawa.