Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa Zelensky na majeshi yake ya Ukraine wamekuwa wakiwatumia raia kama ngao za vita.
Umoja huo umetaja mapigano ya maeneo tofauti tofauti ambapo majeshi ya Ukraine yaliwazuia raia wasio na hatia wakiwemo wanawake, wajawazito, wazee, walemavu, wagonjwa, na watoto ili wanajeshi hao wa Ukraine wasishambuliwe na Urusi, wakati huo huo wao waUkraine wakiwashambulia warusi.
Tuliongea sana jambo hili humu, kuwa haya magaidi ya Ukraine yanawatumia raia kama ngao za kivita. Yanahatarisha maisha ya raia. Kuna wapuuzi fulani humu wakawa wakitetea raia kutumika kama ngao. Sasa leo sijui wataweka wapi sura zao wapi, maana UN yao ndio imethibitisha na kuanisha ni wapi na vipi na wakati gani majeshi ya Ukraine yaliwatumia raia wa Ukraine kujikinga na mashambulizi ya Urusi.
====