Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
🤔
Watu wengi hawajui wanapoambiwa wasilam wanaongezeka Ulaya. Wanafikiri kuwa sasa wauslam Ulaya ni wengi kuliko wakristo, jambo ambalo siyo sahihi kabisa. Ongezeko la waislam Ulaya ni ongezeko kubwa kwa asilimia, siyo kwa idadi. Na ongezeko hilo linatokana na waham8aji yoka Uarabuni wanaokimbia tawala za hovyo huko Mashariki ya kati.Mkuu waislamu sio kwamba wanapata waumini wapya,La asha..
Hao watu wanazaliana kwa speed ya ajabu,pia wanaruhusiwa kuoa wanawake 4+,.Kwao kuoa leo kuacha kesho jambo la Sunna,.kwanini wasiongezeke??
Lazima wawe wengi, sasa kama server Yao iliyopo uarabuni inawaambia waoe wake wa4 unafikiri lengo lao lilikua lipi, hapa jirani yangu Kuna mama mpemba ana watoto 9, na mme wake ana wake wa4, DINI hiyo imejijenga kwenye kuwekeza kwenye ngono ndio mana hata ahadi Yao kama utatenda mema peponi Kuna mabikira 72na mito ya wanzuki.
Uislam umepungua tz? Ndio maana umaskini na ujinga umeongezeka?Wale wenye dini zenu za Wazungu na Waarabu nawaletea utafiti Kwa mujibu wa ripoti ya BBC.
Uislamu wakua kwa kasi duniani huku Ukristo ukipungua - Utafiti mpya
![]()
Uislamu wakua kwa kasi duniani huku Ukristo ukipungua - Utafiti Mpya - BBC News Swahili
Ripoti hiyo inasema kwamba licha ya Wakristo kusalia kuwa kundi kubwa zaidi la kidini ulimwenguni, wafuasi wa dini hiyo hawakuendana na kasi ya ongezeko la watu duniani kuanzia 2010 hadi 2020.bbc.in
Kuongozwa kwa utashi wa MUARABU kuoa mtoto wa miaka 9 nisawa, ok, sibishani nanyie najua akili zenu, mnajisaidia ubongo halafu kimba ndio linapanda kichwaniKosa lipo wapi ? UISLAM upo sawa kabisa unaendana na mahitaji ya Wanadamu kiufupi UISLAM upo mbele ya Muda✍️
Ukifata Dini yani Ukristo hakuna zuio lawewe kuoa zaidi👈
Lkn watu wanafata utamaduni na maelekezo ya Mzungu❌️
MZUNGU kwamiaka mingi yupo kwenye project ya USODOMA 👈
saau kukushawishi kuoa zaidi
Makabila mengi ya Bara Wasukuma Uko Mbeya nk. wanaoa zaidi ya
Mke mmoja👈
wenyewe wamechagua utamaduni wao✅️
badala kuongozwa na utashi wa Mzungu❌️
Dini tumeletewa - Afande Sele.Wale wenye dini zenu za Wazungu na Waarabu nawaletea utafiti Kwa mujibu wa ripoti ya BBC.
Uislamu wakua kwa kasi duniani huku Ukristo ukipungua - Utafiti mpya
Ubora wa afya na mafanikio ya mtu havipimwi kwa kuangalia ukubwa wa mwili.Uyu Askofu Chadema hawampi nayeye iyo michango imefikia nguo zinamvaa yeye badala yeye kuvaa nguo 🦘