complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 421
- 1,289
Kwa muda mrefu sana nimekua nikishuhudia ajali za barabarani na kutokua na juhudi zozote za kielimu kutoka kwa vyombo na taasisi husika kuweka mpango mkakati wa kuzipunguza
Nitakua nikiweka matukio ya ajali yanayitokea kila kukicha Tanzania kusudi tuweze kujua jinsi gani hizi ajali zinamaliza watu pengine zaidi ya zile nchi zilizopo Vitani.
Kwa kuanza na Leo.
Basi la Navil express ajali karibu na mto Rufiji
Ajali mbaya imetokea leo, Novemba 22, wilayani Bunda, Mara, saa 5:00 asubuhi, ambapo watu wanne wamefariki dunia na saba kujeruhiwa, baadhi yao hali zikiwa mbaya.
Tunduma, Mpemba usiku wa leo Nimeshindwa kuweka video kwasababu inatosha sana.