Ripoti za kila siku zinaonekana kama ni fake! wananchi hawapati taarifa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Ripoti mbali mbali za kila siku ambazo zinaagizwa na wanasiasa lakini hatuambiwi chochote zinaonekana kwa wengi ni fake tu.

Ripoti mpaka za Raisi hazijulikani kama zilitoa au yalikuwa maneno ya kisiasa tu. Uongo ongo kwenye hii serikali umekuwa mwingi sana. Master wa uongo bahati mbaya ndie mkuu wetu
 
Tukumbuke jukumu. la media kwenye anguko la democrat pale kwa babu.Hili tunameomba P,kwani kwanza yupo kwa babu mapunzikoni halafu ni mtaalamu wa media na sii hasa katika kile anachoita kwa maslahi ya taifa na sii wana sii hasaa.
 
Andikaa hapo mtoa madaa ana hoja ,japo hakuna atakayemsilikizaa
FB_IMG_1731931623196.jpg
 
Ripoti mbali mbali za kila siku ambazo zinaagizwa na wanasiasa lakini hatuambiwi chochote zinaonekana kwa wengi ni fake tu.

Ripoti mpaka za Raisi hazijulikani kama zilitoa au yalikuwa maneno ya kisiasa tu. Uongo ongo kwenye hii serikali umekuwa mwingi sana. Master wa uongo bahati mbaya ndie mkuu wetu
Tuvumilie tumalize msiba ndugu zangu
downloadfile-1.jpg
 
Tuvumilie tumalize msiba ndugu zanguView attachment 3155443

Tudanyanye tena kama yule mzee wetu tunataka ripoti ya haraka. Tuacheni ujinga hawa watu wote wamekufa kwa upuuzi, rushwa na ubinafsi wa viongozi wetu msije hapa machawa kujaribu kutudanganya danganya kama watoto. Jengo chini ya kiwango, hakuna vifaa vya kuokoa pesa kwa polisi ni za washawasha tu halafu mnasema tusubiri msiba uishe. Je misiba mingapi ? Je wale walitekwa tusubiri mpaka lini ndugu ??
 
Waziri mkuu amemuamuru mkuu wa mkoa kumkamata Niffer haraka sana. Na mkuu wa mkoa akajibu kuwa tayari Niffer ameshakamatwa.

Lkn Niffer ktk majibu yake anasema aliomba muongozo kutoka kwa mkuu wa mkoa.

Aibu naona mimi.
 
Back
Top Bottom