Tukumbuke jukumu. la media kwenye anguko la democrat pale kwa babu.Hili tunameomba P,kwani kwanza yupo kwa babu mapunzikoni halafu ni mtaalamu wa media na sii hasa katika kile anachoita kwa maslahi ya taifa na sii wana sii hasaa.Ripoti mbali mbali za kila siku ambazo zinaagizwa na wanasiasa lakini hatuambiwi chochote zinaonekana kwa wengi ni fake tu.
Ripoti mpaka za Raisi hazijulikani kama zilitoa au yalikuwa maneno ya kisiasa tu. Uongo ongo kwenye hii serikali umekuwa mwingi sana. Master wa uongo bahati mbaya ndie mkuu wetu
Tuvumilie tumalize msiba ndugu zanguRipoti mbali mbali za kila siku ambazo zinaagizwa na wanasiasa lakini hatuambiwi chochote zinaonekana kwa wengi ni fake tu.
Ripoti mpaka za Raisi hazijulikani kama zilitoa au yalikuwa maneno ya kisiasa tu. Uongo ongo kwenye hii serikali umekuwa mwingi sana. Master wa uongo bahati mbaya ndie mkuu wetu
Tuvumilie tumalize msiba ndugu zanguView attachment 3155443