smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
siku hizi udom na wao wamo kwa kutoa Phd za mchongo.Pale jalalani PhD zao ni zakuogopa kama ukoma, hapa marehemu, pale mzee wa tozo kule Prof wa jalalani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku hizi udom na wao wamo kwa kutoa Phd za mchongo.Pale jalalani PhD zao ni zakuogopa kama ukoma, hapa marehemu, pale mzee wa tozo kule Prof wa jalalani
Hizi hoja zenu ni nyepesi sana, acheni kukaza shingo.Kwanini andiko la udk wa magufuli limefichwa pale udsm? PhD thesis huwa zinakuwa available kwa watu kujifunza na kufanyia reference, kwanini ya magufuli imefichwa?
Hoja nzito haiwezi kuletwa kama tetesi, halafu muanze ku-speculate majibu, hivi nyie ni wasomi wa sampuli gani?!Majibu mepesi na ya kihuni kwa hoja nzito watu wengi wangepewa doctor kwa mwaka mmoja badala ya mitatu kwa kisingizio Cha wao ni wachapa kazi sana
Wewe nina mashaka utakuwa mwanafamilia wa magufuli, ndugu yake au moja ya mahawara wake maana umejitoa akili na kuongea ujinga mtupu.Hizi hoja zenu ni nyepesi sana, acheni kukaza shingo.
Magufuli kwa nafasi yake sishangai hiyo PhD yake kufichwa, wengi wangeweza kuitumia kutafuta makosa hata madogo ya kiuandishi, au lugha, waje kumdhihaki kwenye jamii hasa mitandaoni.
Mfano wengi walikuwa wanasema Magufuli hajui kiingereza....
Sababu zipo nyingi kwa nini imefichwa, sio lazima iwe hiyo yenu mnayoilazimisha kila wakati, au basi mtupe mfano wa Rais mwingine wa Tanzania ambaye PhD yake ipo huko watu wanaitumia, ili tuamini hii sababu yenu, ukishindwa hapo, just shut up.!!
Kuitana madogo, au mweupe kichwani ni ujinga tu, mweupe hawezi kukuuliza maswali ushindwe kumjibu, mweupe hawezi kukuonesha udhaifu wako ambao wewe mwenyewe huujui, wewe ni msomi kanjanja tu.
Wajinga ndio wana mawazo kama yako, hasa wakibanwa, nilishakwambia uwe na consistence, usi-divert ili kunibadilisha mind, mimi niko above hapo, sijiingizi kwenye malumbano ya nje ya mada.Wewe nina mashaka utakuwa mwanafamilia wa magufuli, ndugu yake au moja ya mahawara wake maana umejitoa akili na kuongea ujinga mtupu.
Thesis ya Dr Gharib Bilal ipo kwenye references za pale Howard university, PhD thesis ya dr shein inapatikana kwenye references za Newcastle university.. ila ya magufuli imefichwa.
Unaweza kupata bcom kwa miaka miwili? Sasa kwa maelezo yako humu unaonesha inawezekana pale unaposema part time student alipata PhD kwa miaka mitatu.
Acha kutetea upumbavu na wizi wa magufuli.
Grow up. Umepewa viongozi wawili ambao thesis zao zinapatikana unaanza kuleta excuse nyingine.Wajinga ndio wana mawazo kama yako, hasa wakibanwa, nilishakwambia uwe na consistence, usi divert ili kunibadilisha mind, mimi niko above hapo, sijiingizi kwenye malumbano ya nje ya mada.
Magufuli sina undugu, jamaa, wala urafiki nae, hapa natumia akili kufanya reasoning, wala sio mihemko kama yako.
Unaleta mfano wa Thesis ya Dr. Gharib Bilal iliyopo chuo cha Marekani, wakati juu pale nimekwambia unipe mfano wa kiongozi wa hapa Tanzania, na chuo alichosemea, uko soft minded sana.
Hata kuelewa vitu vidogo huwezi, utanichosha bure "msomi" naona tuagane tu kwa amani, maana umejaa hisia sana hukawii kutoa matusi.
Kama unakiri wengine hawana PhD za kusomea, basi hauna majibu ya maswali yangu, na kutoa mifano ya waliosomea nje ya nchi kwangu ni irrelevant.Grow up. Umepewa viongozi wawili ambao thesis zao zinapatikana unaanza kuleta excuse nyingine.
Viongozi wengine hawana PhD za kusomea.
Nenda pale ud waambie wewe ni mchapakazi kisawa sawa alafu watakupa PhD ya darasani chap kama walivyofanya kwa magufuliHoja nzito haiwezi kuletwa kama tetesi, halafu muanze ku-speculate majibu, hivi nyie ni wasomi wa sampuli gani?!
Hopeless kabisa.
Tambua, hoja ili iitwe nzito lazima ije na uthibitisho usioacha chembe ya shaka, sio hii yenu ya speculation, tena za jumla jumla, iliyojaa mihemko, hamjielewi.
Nyie ni wakucharaza hayo makalio yenu!.
Magufuli ya kwake ni ya kusoma ndo maana watu wana-question na sio ya heshima kama ya kikwete tofautisha na hii inaonyesha hujui wapi unasimamiaKama unakiri wengine hawana PhD za kusomea, basi hauna majibu ya maswali yangu, na kutoa mifano ya waliosomea nje ya nchi kwangu ni irrelevant.
Case closed.
Tutafika tukiwa tumechoka sanasiku hizi udom na wao wamo kwa kutoa Phd za mchongo.
Tazama maswali yangu kwa mwenzio kisha uje na majibu.Magufuli ya kwake ni ya kusoma ndo maana watu wana-question na sio ya heshima kama ya kikwete tofautisha na hii inaonyesha hujui wapi unasimamia
Ni-tazame Mara ngapi nawakati umesema amepewa PhD ya kusoma kwa sababu ni mchapakaziTazama maswali yangu kwa mwenzio kisha uje na majibu.
Baadhi ya maamuzi ya magufuli hahayakushabihiana na mtu mwenye hata degree moja?Nimekubali Magufuli alikuwa sio tishio tu nje ya nchi,hasa ndani ya nchi,hakika mtateseka sana na mzimu wake
Hajui hilo.Tazama maswali yangu kwa mwenzio kisha uje na majibu.
Jamaa lilikuwa katili sanaPhd za kataristi ni fake,ndio maana imemkosti kipenzi chetu marehemu Ben saa8.
Imagine just kuhoji tu, unazikwa mwituni.