Risasi zinarindima Kigamboni darajani

Risasi zinarindima Kigamboni darajani

watu wa mkoani huwa wanasimuliwa tu kuhusu dar..anafikiri kuna hata sehemu ya kujificha ukitoka kwenye gar anadhan kuna nyumba nyumba kama tandika sudan, hahaha
Dar Es Salaam sio mkoa? Basi ni nini?
 
Polisi wanafanya kazi ngumu sana, Natamani nawao wangepewa bikra 72 wanapostaafu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah
 
Wanaume wa Dar vilisasi viwili vitatu mmeshakimbilia JF, badala ya kutoa msaada huko. Hovyo kabisa
"Wamekimbilia kujificha chini ya gari. Pamoja na ukubwa wa difu wapo wanaume zaidi ya kumi..." Alisikika Mura mmoja aliyeko huko Majita akitoa taarifa kuhusu Panya Road.
 
Hapana, hawakufuata tozo

walikuwa wanavuka na moto wakashindwa kupitiliza, manake darajani huwa kuna wazee wako cocked, locked and ready to roll muda wote
Hao wazee wale wa Suma jkt?
 
Back
Top Bottom