Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio kichwa na jembe letu hapa JF. Ndio ujue tatizo kubwa tulilo nalo watanzaniaWewe mwenyewe hazimo kichwani
Wanawake wa Tanzania chukueni hatua kaoleweni na wakenya wana Mbegu inazaa mitoto kichwani iko.vizuri
Mr Bean ni msomi mkubwa wa electrical engineering kwa kiwango cha PhD usimdharauUK na democracia yao IPO siku wataongozwa na Mr Bean
Mie nadhani sio kuzaa ni malezi.Wewe mwenyewe hazimo kichwani
Wanawake wa Tanzania chukueni hatua kaoleweni na wakenya wana Mbegu inazaa mitoto kichwani iko.vizuri
Hatari sana Mkuu YEHODAYA! "BabaBaba yake Rishi Sunak ni Mkenya na mama yake ni Mtanzania
Tukienda kwa uzao wa mama Rishi Sunak nl mtanzania. Baba huwa hazai wodini
Akipata tu uwaziri mkuu Mama Samia amwalike kutembelea Tanzania kwa mama yake
Mhindi anaenda kuwa Prime Minister wa uk
Wewe unataka warudi kwenye u-Mangungo na u-Mkwawa. Wenzako huko wakishatoka wamewaachia nyie na akina dikteta Putin, Xi, Kiduku, Museveni, Kagame, Ayatollah na akina Obiang Nguema.Hata kama ni demokrasia; this is too much. Kila siku uchaguzi demokrasia ya nini.
Hata wewe ndio ue huko upewe hicho cheo wala haitasaidia Tanzania na chochote tutaendelea tu kuchoma mahindi 🌽 na kukimbiza mwenge bila akili huku uchumi ukizidi kusambaratika.Baba yake Rishi Sunak ni Mkenya na mama yake ni Mtanzania
Tukienda kwa uzao wa mama Rishi Sunak nl mtanzania. Baba huwa hazai wodini
Akipata tu uwaziri mkuu Mama Samia amwalike kutembelea Tanzania kwa mama yake
Atakua Obama wa uingereza huyu.Mhindi anaenda kuwa Prime Minister wa uk
Nasikia alizaliwa Upanga DSM Tanzania - tunampongeza sana.
Mkuu hiyo dhana ya asili ina nafasi gani? Siyo tumejifunza shuleni makabila mengi ya Tanzania ni Wabantu, je si weyeji tena kwa sababu mababu walitoka Kamerun?Baba mkenya, mama mtanzania.... Wote wenye asili ya India.
Basi sawa