Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka Ubalozi tena nje kwa wazungu walikosea pasi ya mwananguWatanzania wengi hatuna umakini kwenye mambo ya msingi.
Ni huzuni kwakweli.Mpaka Ubalozi tena nje kwa wazungu walikosea pasi ya mwanangu
Kabla sijaondoka nikasema hebu nijiridhishe niisome kwa umakini
Lahaula jina tofauti hebu fikiria
Hata kwenye vyeti vya ndoa bongo wanakosea sana tena unamwambia nakili majina ila anakosea hopeless kabisa
Tena kila sehemu ni hivyo akili zetu zinatutosha kwa mambo machache sana
Na kero piaNi huzuni kwakweli.
Bado na shule ya msingi wanapoandikishwa jina linakosewa tena, yaani ni full mvurugano kila mahali!Na kero pia
Mpaka unajisemea hivi hata kunakili mtu anashindwa
Ni huzuni haswa
Sijui hii laana aliachiwa naniBado na shule ya msingi wanapoandikishwa jina linakosewa tena, yaani ni full mvurugano kila mahali!
wazi sasa ni kwamba umakini unakuwa mdogo kwa wengi wa watumishi wetu tumebakiwa na tabia za wakoloni za kusahau nafasi zetu ni kwa ajili ya wale tunaowatumikia. wengi tunafanya kazi siku ipite tulipwe na ndio maana tunafeli kutoa huduma sahihi...Ilitokea kwenye Cheti Cha kuzaliwa Cha Mwanangu, Rita walikuja kwenye ofisi ya Serikali wa Mtaa wangu... nikaandika Majina kwenye karatasi na Taarifa muhimu zote, nikampa Mama ake na pesa ya kulipia, ilikua kama 8,000 Kwa Mtoto kama sikosei.
Baada ya siku 3 Mama mtu anafata Cheti ananipigia kuniambia wamekosea kuandika Jinsia, na kwamba kurekebisha safari hii tunatakiwa kulipia 20,000... Nikamuuliza hukuwapa ile karatasi niliyoandika taarifa zote ..!? Akasema aliwapa, nikasema Sasa sio Makosa yangu, wao ndo wamekosea na warekebishe wenyewe....!
Baada ya siku 3 nikaona Cheti Nyumbani.
ukinadi hivi wao wananadi yao. Ukizingatia wewe ndi mwenye umuhimu wa kitu chako unabaki huna namna kwa kuwa hutaki kucheleweshwa.Huko hamuombi kupitia mtandao,hata kama manual kama attachment ya marekebisho mkirejea na ikaonyesha kosa lilikuwa kwao huwa hualipi tena. Utalipaje marekebisho wakati aliyekosea ni afisa wao?
Sahihi, utakuta Uzembe wa Afisa wa Tasisi halafu anataka kumbebesha Mzigo Mwananchi.wazi sasa ni kwamba umakini unakuwa mdogo kwa wengi wa watumishi wetu tumebakiwa na tabia za wakoloni za kusahau nafasi zetu ni kwa ajili ya wale tunaowatumikia. wengi tunafanya kazi siku ipite tulipwe na ndio maana tunafeli kutoa huduma sahihi...