KERO RITA wamekuwa wazembe kutatua changamoto ya ku-VERIFY Birth Certificate wakidai Mfumo wa Malipo ya CONTROL NUMBER unasumbua. Leo umefika mwezi 1

KERO RITA wamekuwa wazembe kutatua changamoto ya ku-VERIFY Birth Certificate wakidai Mfumo wa Malipo ya CONTROL NUMBER unasumbua. Leo umefika mwezi 1

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Rita wamekuwa wazembe kuhsughulikia changamoto za wateja wao, niliripoti terehe 19/06/2025 kwenye maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma Dodoma kuwa nilifanya maombi ya kuverify cheti cha kuzaliwa na kulipia 10/06/2025 lakini kufikia tarehe niliyoripoti account ilikua inasema malipo hayajapokelewa, wakanieleza tarehe 10-12 system ya Control namba ilikua inasumbua hivyo nisubiri ndani ya masaa 24 itakua sawa, haikuishia hapo wiki iliyoisha Jumatano nilienda HQ wakachukua control namba ya malipo na kuahidi kufikia jumatatu ya wiki hii itakua tayari, ila hadi leo hii bado sijafanyikiwa kuendelea na process za kuverify cheti cha kuzaliwa nilipowafata ofisini kwao wananijibu bado mtandao hauko sawa.

Hii naita ni urasimu haiwezekani tangu 10 June hadi Leo tarehe 9 mtandao uwe haujakaa sawa nikawaambia kama haiwezekani waniruhusu niombe upya hawakusema kitu na muda unaenda nashindwa kuanza maombi ya mkopo wa Elimu ya juu.

Mamlaka husika tafadhali mjitokeze mnisaidie kutatua changamoto yangu.

IMG_2868.jpeg

IMG_2869.png
 
Back
Top Bottom