Ritha Poulsen si mchezo

Bright Smart

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2011
Posts
643
Reaction score
312
yaani niko naangalia Nirvana EATV aisee hiki kifaa si mchezo yuko fit kila idara hadi sauti inaita si mchezo, kwa mlio karibu na tv mnaweza mcheck, kiukweli amesimama si mchezo.

Ndio nani huyu?
Uceleb wake umetokana na nn?
 
Ndo huyu alikuwa anatembea na Diamond au na mchanganya
 
ndezi nyingine bwana!! sasa wewe umilionea wako wa kufikiri unanisaidia nini!!????

Tatizo ni pale mnapo tumia masaburi kufikiri. Tatizo wabongo dzain ya wwe muda mwingi akili zinahamia chini badala ya kufikiria kazi. Muda wote unafikiria wanawake tu!
 
Tatizo ni pale mnapo tumia masaburi kufikiri. Tatizo wabongo dzain ya wwe muda mwingi akili zinahamia chini badala ya kufikiria kazi. Muda wote unafikiria wanawake tu!

heri yako wewe muda wote unayefikiria wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…