Bright Smart
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 643
- 312
yaani niko naangalia Nirvana EATV aisee hiki kifaa si mchezo yuko fit kila idara hadi sauti inaita si mchezo, kwa mlio karibu na tv mnaweza mcheck, kiukweli amesimama si mchezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nani huyu?
Uceleb wake umetokana na nn?
ni mfanya biashara waTanzania, mwenye mafanikio na shughuli zake.
yaani niko naangalia Nirvana EATV aisee hiki kifaa si mchezo yuko fit kila idara hadi sauti inaita si mchezo, kwa mlio karibu na tv mnaweza mcheck, kiukweli amesimama si mchezo.
![]()
Neema za ALLAH shehe design hizo labda itokee tu.
what do you mean?
Sauti yake na uzuri unaomsifia wewe vtakusidia kuondokana na ufukara wa kufikiri?
Wewe hujiamini? Fuseki.ni mtu anaejiamini.sifa hiyo nampa
Sauti yake na uzuri unaomsifia wewe vtakusidia kuondokana na ufukara wa kufikiri?
Sauti yake na uzuri unaomsifia wewe vtakusidia kuondokana na ufukara wa kufikiri?
ndezi nyingine bwana!! sasa wewe umilionea wako wa kufikiri unanisaidia nini!!????
Tatizo ni pale mnapo tumia masaburi kufikiri. Tatizo wabongo dzain ya wwe muda mwingi akili zinahamia chini badala ya kufikiria kazi. Muda wote unafikiria wanawake tu!